Umeshachakachua mada!Kwakweli mjada umekua mzito mpaka watu wana-intergrate. Naweza sema Zito amekuala pesa za mafisadi, Anahama na juzi Kanunua
Horse Spot, na mambo mengine mengi tu kafanyiwa na CCM-mafisadi. Hana issue tena kisiasa na ameanza kufilisika kisiasa. Kwakweli mtatiro inatakiwa ahamie
I am full time Alcoholic, ulevi ukiisha utaacha kuuliza hili swali!
Kumbe uislam unatisha kiasi hicho?
Duh! Julius akiwa muislam tunaacha kabisa kujadili hoja tunaanza udini?
Tujadili alichosema siyo dini yake?
Nani anayejua kwamba Slaa ni mkristo kweli...si ukristo wake uliisha alipo zini?
Embu acheni kujadili dini..hapa TZ hakuna mwenye kufuata dini hata kidogo?
Wengi tunakutana baa tunataka maisha bora period?
Dini wakati wa kuoa, nakuomba dua period (traditions tu) hakuna la maana?
Are you insane? You probably need Monoamine Oxidase Inhibitors. Grow up buddy
Mbona unaonekana Unajazba sana. Kama huwezi siasa kajalibu kuwa Doctor wa Mifugo.
I that another type of madecine, for full time alcoholic pp...go ahead use it, ulevi unaweza kupungua.
Chapa lapa wewe Kibwengo achana na mimi!
Amukuita nani "a full time alcoholic" ulevi umeisha? ukiisha utaacha matusi
I have the same feeling that CUF is just a normal political party, It is clear that many follower of this very party have different idea regarding this party, If Lipumba and Seif were serious enough to eradicate this problem, it wouldnt be as it is today. They like and enjoy the idea of their followers that CUF is for Islam. Lipumba did his campaign (2010) in areas where Islams are populated most.
The best way to solve the problem is for Lipumba and Hamad to step down, and some other member to step up.
In politics however how much we can rationalize our reasons still people judge differently, and their judgement have big impact is such a way that it can destroy in areas were it was not supposed to be destroyed.
Not far in future even the top leaders of Chadema need to deal with these problem intelectually not just assuming that people understand...no...is to do exactly as they want even if by using propaganda 'danganya toto' this kind of tactics is well employed in politics anywhere.
Mtatiro you made big big mistake to contest with Mnyika, I wished to have you in the house-Dodoma! You made wrong choice, you were supposed to stand with Azan!! you decided not to because of your secret agenda...
Mzee nimekuambia achana na mimi! Are you a GAY?
Hii inatufunza kuanzia sasa kwamba tuache kuitambua CUF kama chama cha waislamu na chadema kama chama cha wakristo. sisi hapa JF ni sehemu ya watanzania hivyo tunaweza kuanza kuamsha moto wa kukataa kupandikiza mbegu za kidini kisha mbegu ya kukataa udini ikachipua na kumfikia mtu mmoja mmoja katika jamii.
Chapa lapa wewe Kibwengo achana na mimi!