Mtatiro wazo lako nizuri sana lakini huna uwezo wa kugeuza misingi iliyo ijenga CUF........na huna uwezo wa kuijenga CUF na kuwa maarufu kama unavyo nadi ushauri wangu ondoka CUF mapema kabisa kajiunge na kafulila NCCR mwaka 2015 uta weza kubahatika kupata ubunge sio huko uliko. Na usijaribu kuja CDM kwasababu tumesha acha kupokea mamluki shibuda anatutosha
Hii inatufunza kuanzia sasa kwamba tuache kuitambua CUF kama chama cha waislamu na chadema kama chama cha wakristo. sisi hapa JF ni sehemu ya watanzania hivyo tunaweza kuanza kuamsha moto wa kukataa kupandikiza mbegu za kidini kisha mbegu ya kukataa udini ikachipua na kumfikia mtu mmoja mmoja katika jamii.
Tropical
Mimi nimpiga kura na kura yangu pale CDM inanguvu sana kwasababu haichakachuliwi kama zinavyo fanywa na tume ya taifa ya uchaguzi....au mwenzangu unadhani mpiga kura nimtu mdogo sana.....nakuwa sikuelewi vile unacho taka kusema au unamaanisha CDM wanamfumo wa zidumu fikra za mwenyekiti...Halafu unasema CDM hawana sera ya ubaguzi hivi ni ubaguzi gani umezungumzwa na kereng'ende? au una shindwa kuelewa tofauti ya kubagua na kukataa? sisi hatutaki watu wasio eleweka katika mitazamo na itikadi zao na hatuelewi wanaamini nini juu ya mstakabali wanchi hii.Nimemsikia maranyingi Mtatilo akizungumzia suala la katiba kama sera ya CUF,sasa mwenzangu mtu kama huyu unamwelewa vizuri? CDM sisi hiyo sio sera ni jukumu la watanzania wote na CCM wakiwemo sisi tuna hamasisha na kuona jambo hili lina tekelezeka kwa nguvu ya uma sio kutenga watu eti hii sio hoja /sera yao kama anavyo fanya mtatilo na kutoa reference eti alianzisha lipumba mpaka police wakamvunja mkono so? ndio maana nimemwambia aende kwakafulia akatafute ubunge
Mtatiro asijisumbue kamwe. Cuf ni uislam na uislam ni cuf. Hiyo haina ubishi. Angalia kwenye mikutano ya hadhara ya cuf uone 'vibandiko' na hijab. Ni mtindo mmoja tu.
Hivi Wilfred Rwakatare bado ni kiongozi wa CUF?Tatizo la CUF ni wanachama wengi wanaokwenda kwenye mikutano yao, kuvaa kanzu na balaghashia kwa akina baba na hijabu kwa akina mama. Vinginevyo ni chama cha kawaida na hakija elemea kwenye dini yeyote. Ndio maana kina viongozi kama akina Wilfred Rwakatare, Julius Mtatiro nk ambao hakuna hata mmoja aliyelalamikia udini katika chama hicho.
Ni mtazamo tu wa watu walio nje ya chama ambao hujenga picha ya kanzu na hijabu, nakumalizia kuzipeleka msikitini, yaani kwenye Uislam. Kiukweli hakuna uhusiano kati ya CUF na Uislam. Ingawa kwenye algebra wanakuwa sahihi kabisa, hasa ukiangalia mlinganyo huu. Kama A=B,na B=C,basi A=C. (A=Uislam;B=Hijabu na kanzu; C=CUF).
Hivi Wilfred Rwakatare bado ni kiongozi wa CUF?
Hivi CUF ni chama cha siasa ama ni Charity iliyo chini ya CCM?