Julio acha unafki na simba acheni u-mbumbumbu

ipo siku utakufa

Senior Member
Dec 8, 2016
146
530
Huyu Jamhuri kihwelu "Julio" ana matatizo sana siyo siri alivyokuwa Mwadui alitaka kuishusha daraja timu ya watu kila baada ya mechi hulalama na kupiga kelele "escape goat" alivyoona hali imekuwa mbaya zaidi akaona atangaze kuacha kufundisha soka sababu ya waamuzi na akasema kwenye vyombo vya habari hatojihusisha tena na soka la Tanzania,alisema kastaafu na kamwe hatojihusisha na soka la hapa nyumban...

Lakini nashangaa leo hii ameenda simba na yupo kwenye benchi la ufundi la simba ,Julio umeshasahau kauli uliyotoa kwenye press conference miezi michache iliyopita??

Kubwa zaidi kanisikitisha kauli aliyoitoa kuelekea mechi ya watani wa jadi simba vs yanga,hizi maneno na kejeli zake ndizo zilizomfelisha Mwadui akaishia kuilaumu TFF kila siku..sasa kati ya yanga na simba ni nani gari la maiti?Julio acha ulimbukeni

c0f0265c71b399a3edd37fbc9e388127.jpg



Kingine Julio alisema ana leseni ya kimataifa na hawezi kufanya kazi chini ya makocha wageni ,naomba nimkumbushe Julio kuwa Omog& mayanja ni makocha wa nje na uliwakejeli kipindi ulivyokuwa Mwadui iweje Leo unaenda kufanya kazi chini yao??

Mbumbumbu sasa zamu yenu mnakumbuka Mwadui ilipowafungeni na Julio alishangilia sana kuonyesha amewakomoa na akacheza kabisa ili kuwakejeli iweje Leo mumrudishe??

dd75c4b8028d06b43abb8caa487a2457.jpg


Julio akicheza baada ya timu yake kuifunga simba na kuiondosha kwenye mbio ya ubingwa

43f743b04deb3999a511e68ee162e3f7.jpg



nb:Ina maana simba hizi kejeli za Julio mmezisahau.
 
Julio ni simba damu hilo linajulikana

Sasa ulitaka timu yake anayofundisha ikikutana na Simba aichie simba ishinde?
 
Kinachonifurahisha kuhusu Julio ni rekodi yake dhidi ya Yanga.. Akiwa mchezaji au kocha.. ni kua Yanga haijawahi kuifunga Simba ushindi kwao ni sare.. Hivyo kwa kuunganisha dot nadhani utaona ni goli ngapi Ndala atachezea.

cc Sibonike na nduguze.
 
Back
Top Bottom