Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
Wandugu,
Julieth ameenguliwa kugombea umakamu mwenyekiti wa BAVICHA.Tuhuma zake ni kutumika na Shibuda na Zitto.
Hata hivyo Julieth alikuwa akitumwa Shinyanga na chama kutokea idara ya sheria wakati ule wa kesi za Shibuda.
Tuhuma ya pili ni kuwa alifoji kuwa diwani viti maalumu Karagwe. Hii nayo ni tuhuma ya kuunda tu,chama ndicho huteua madiwani.
Nijuavyo maofisa wa makao makuu "walimtumia" ndio wakafoji wakampa udiwani.Ilikuwa kesi kubwa hadi dokta akahusishwa kutetea,Julieth akapokonywa udiwani. Kwa hilo nalo siyo kosa lake.
Nadhani atakwenda mahakamani. Tungoje kesho vitimbi zaidi.