Bowie
JF-Expert Member
- Sep 17, 2016
- 4,372
- 6,078
Wadau mimi kwa maoni yangu binafsi hii tuzo la Nobel Prize huwa linatolewa kinafiki sana. Maana halisi ya nia ya mwasisi wa tunzo hili Alfred Nobel mwaka 1901 ilikuwa ni kutoa tunzo hili kwa kiongozi ama viongozi wanaitakia mema dunia hii katika amani kama viongozi hawa wachache wafuatayo:
Mohamed Anwar Sadat na Menachem Begin 1978
Mother Theresa 1979
Desmond Tutu 1984
Mikhail Gorbachev 1990
Nelson Mandela na Fredrick de clerk 1993
Yasser Arafat, Shimon Peres and Yitzhak Rabin 1994
Hayo juu ni baadhi ya majina ya watu maarufu waliosaidia kuleta amani katika dunia yetu hii. Je kama ni kweli hili tuzo hupewa watu wa aina hiyo kwanini huyu mwasisi wa Wikileaks Julian Assange na mwenzake Edward Snowden wasipewe tuzo kwa kazi ya kuanika maovu, ufisadi na madhambi ya viongozi na serikali nyingi duniani. Ukisoma ripoti za Wikileaks utaona tunaishi katika dunia ambayo sio salama kabisa.
Naomba kuwakilisha.