Jukwaa la Wahariri; Kauli za Kijinga Waandishi Ondokeni Ukumbini

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
40,335
72,798
VIDEO: Msimamo wa Jukwaa la Wahariri kwa CUF baada ya kushambuliwa wanahabari:
VIDEO: Msimamo wa Jukwaa la Wahariri kwa CUF baada ya kushambuliwa wanahabari - millardayo.com
Msimamo huu wa jukwaa la wahariri kuwa aliyewaita kwenye Press conference kama akizungumza ujinga ondokeni na kamera zenu mumuachie chumba nimeupenda.
Meena alikuwa anazungumzia kauli za Sirro kuhusu kupigwa kwa waandishi na msimamo wa polisi juu ya uchunguzi kuwa majibu yake yalikuwa kama dhihaka kwao na hawakupaswa kuvumilia.
Nadhani hiyo itakuwa njia sahihi ya kutoa fundisho kwa wanao dharau mambo ya msingi na kupenda wasikilizwe wao tuu.
 
Back
Top Bottom