Himidt Lengo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2018
- 389
- 370
Dah noumaa leseni yenyew siku hizi kuipata Pharmacy Council sio jambo la kitoto, lazima ukae chini upige kitabu ohooo, baadh washarudia zaid ya mara 4 ngoma wameikosa noumaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana hawaangalii GPA au class gan ya ufaulu ktk chuo chako, cha msingi uwe umefaulu pepa "proffesional exam" lao tu, na siku hiz wanakaza sana ktk utungaji wao so lazima mtu ajipange kisawa sawa
Yeaa kila la heri yaoNyie Mungu kawajaalia sana MNA fani matawi ya juu Ndg, PIGIENI MISULI HLO PEPA MPK KIELEWEKE THEN TINDUA HASA HILO PEPA LAO, PATA LESENI PATA AJIRA KULA MAISHA.ROHO ILINIUMA SANA KUONA JAMAA KBAO KM 100+ WANAKOSA KUWA WAFIA NCHI WETU PALE TWALIPO KJ KISA TUU HAWANA LESENI ! MLIPOTOKA MBALI MNAENDA KARIBU KOMAEN MPATE AJIRA KAMANDA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pre-registration/proffessional Exams nikisanga kwakweli these days aiseeHabar zenu wakuu....ninashida na past papers za p' technician kwa alokua nazo msaada
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
ulizozitaja hapo ni pepa za leseni au za nnPre-registration/proffessional Exams nikisanga kwakweli these days aisee
Yan ni balaa wamejua kutukomesha safar hiiPre-registration/proffessional Exams nikisanga kwakweli these days aisee
Ni mtihan wa usajilulizozitaja hapo ni pepa za leseni au za nn
ili uweze kupata leseni ama kusajiliwa kwenye bodi ya [emoji2384] pharmacy councils
Pia kwa course za afya ukosefu wa ajira unazid kuongezeka kila kukucha
Dah noumaa leseni yenyew siku hizi kuipata Pharmacy Council sio jambo la kitoto, lazima ukae chini upige kitabu ohooo, baadh washarudia zaid ya mara 4 ngoma wameikosa noumaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mungu anisaidie nikachomoe supp yang ya leseni ya compounding.
Hali ni mbayaM naomba mnijuze pharmacy kwa upande was ajira kwa Sasa ivi ukoje