peter muta
Senior Member
- May 20, 2015
- 145
- 19
Tunahiji kiongozi mwenye maamuz magumu ili kuiweka sawa nchi hii na simwingine bali ni Luwasa,hatutaki kiongozi wa kukulupaka bila Rowasa maji kutolewa z.victori kwends Shy na kwingineko,
Hahah, Slaa 2010 humu alipata 70%.
Kwa kweli ikatokea Mtanzania mwenye akili timamu akachagua CCM mwaka huu huyo atakuwa amelaaniwa na mungu. Tokea Kikwete ameingia madarakani ni shida tupu. Kikwete amekuwa Rais watoto na ndugu zetu Albino wamechinjwa kama kuku. Hivi huyu baba atasimama kweli na kujisifu CCM itashida. Si ndio atatumalizia mpaka wamama wajawazito sasa.