Jukwaa la kuwanadi wagombea urais

Jukwaa la kuwanadi wagombea urais

Mkombozi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2008
Posts
844
Reaction score
476
Mpaka sasa wagombea wenye nguvu ya kutwaa Urais in Edward Lowasa au John Magufuli.Wote wawili wanawafuasi wao.Sasa kila anayehisi mgombea wake ndiye atakayeshinda kiti cha urais,umnadi hapa.Woye wamekuwa serikalini kwa muda mrefu.Elezea amefanya nini kilicholetea Taifa faida au maendeleo,kipi alichofanya kikaletea Taifa hasara na kwa kiasi gani.Nini matarajip yako.Je ni point ipi ya msingi inayotushawishi tumpe kura?Katika kumnadi andika jina la mgombea wako,jibu hoja kwa hoja,epuka siasa za maji ya mtaro.
 
Lowasa ndo Rais wa JMT amin ivo
 
​maali taifa lilipofikishwa na michwa, tunamuhitaji rais jasiri,na mwenye maamuzi,mwenye maono,mchapa kazi mwenye kusimamia jambo lolote kwa makini mkubwa, LOWASSA anasifa zote za kuwa rais wa nchi ihi.
 
Kwa kweli ikatokea Mtanzania mwenye akili timamu akachagua CCM mwaka huu huyo atakuwa amelaaniwa na mungu. Tokea Kikwete ameingia madarakani ni shida tupu. Kikwete amekuwa Rais watoto na ndugu zetu Albino wamechinjwa kama kuku. Hivi huyu baba atasimama kweli na kujisifu CCM itashida. Si ndio atatumalizia mpaka wamama wajawazito sasa.
 
Afu nyie mtawafanya watu waje hapa watukane sasa yan kira mtu lowasa Daaaaaahhh kweri nimeamin mkuu anakubalika
 
Back
Top Bottom