Jukwaa huru lalaani viongozi kuleta siasa kwenye mambo ya maendeleo

Nafikiri mkuu wa mkoa angefanya jitihada za kuupanga mji wa dar es salaam kwanza. Ili huduma za kijamii kama barabara na maji safi yawafikie wananchi. Sewage system zikae vema kipindupindu kingeondoka. Pia ingesaidia kuondoa msongamano dar.
Yeye ni matamko tu
1:majobess
2:usafi wa jiji
3:Usafiri bure kwa walimu
4: ombaomba
5:machangudoa
6:kutenga sehemu maalum ya baaa
 
*JUKWAA HURU LA WAZALENDO TANZANIA*

_*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*_

" _TAMKO LA KULAANI KITENDO CHA MEYA WA JIJI KULETA SIASA KWENYE MAENDELEO NA USALAMA_"
*Ndugu waandishi wa habari*
Jukwaa limewaita mahali hapa kueleza masikitiko na kulaani kitendo cha Meya wa Jiji la Dar es Salaam Ndugu Mwita kutaka kuwapotosha kwa makusudi wananchi wa Dar es Salaam na Taifa kwa ujumla juu ya agizo halali la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda.

Mtakumbuka kuwa hivi karibuni Ndugu Makonda katika kuhakikisha wananchi wa mkoa wake wanatambulika ili kufanikisha mipango mbalimbali ya Serikali na baada ya mashauriano na wataalamu wake alitangaza zoezi la kuchukua taarifa za kaya.

Hata hivyo ndugu wana habari Jukwaa limesikitishwa na kuibuka kwa Ndugu Mwita ambaye badala ya kuunga mkono zoezi hilo au kusaidiana na viongozi wenzake yeye ameibuka na kufanya harakati na siasa za kubeza ubunifu huo.

Kauli hiyo ya kiharakati ya Meya Mwita imekuja wakati ambapo hata mmoja wa walezi wa Ukawa, Ndugu Edward Lowassa akiwa amekemea na kuonesha kuchoshwa na siasa za kiharakati badala ya zile za maendeleo.

Jukwaa linakemea vitendo vya namna hii ambavyo vinarudisha nyuma jitihada za dhati za Serikali ya Awamu ya Tano na kuchelewesha jitihada za serikali katika kuhakikisha wananchi wake wanakijikwamua kiuchumi kwa sababu ya siasa tu.

Katika kuonesha yeye si mtu wa Maendeleo na wala hana umakini zaidi ya uanaharakati Meya Mwita ameandika kuwa wananchi wasitii agizo hilo kwa sababu halina kibali cha kuwapekua wananchi kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.

Meya amelaghai umma. Sheria aliyoitaja inaainisha utaratibu wa masuala mbalimbali kunapokuwa kumetendeka makosa mbalimbali ya jinai.

Swali; ni wapi agizo la RC Makonda limetamka kwamba Jeshi la Polisi likawakague watuhumiwa wa Makosa ya Jinai?

Ndugu wanahabari ni watuhumiwa pekee wa makosa ya jinai ndio wanaotakiwa kukaguliwa kwa mujibu wa sheria hiyo aliyoitaja Meya Mwita.

Agizo la RC Makonda liko wazi na linelenga kuwatambua wananchi wake katika kaya ili kuweza kupanga mipango ya kuwahudumia kama ambavyo pia mazoezi kama hayo yameshafanyika katika miji mikubwa duniani kama vile London, Paris na hata Berlin.

Ndugu wanahabari tunaweza kujikumbusha katika kuona kuwa Meya Mwita ametoa kauli ya ajabu sana katika zama hizi kwa kukumbushana kuwa mara kadhaa mazoezi kama sensa na tafiti mbalimbali za ngazi ya kaya vimefanyika bila wahusika kuwa na kibali cha upekuzi kama Meya anavyopotosha.

Ndugu wanahabari, Jukwaa linajaribu kuhoji tuna viongozi wa namna gani ikiwa wanashindwa kujua na kutofautisha kati ya siasa na maendeleo?

Agizo la RC Makonda ni halali na halihitaji kibali kwa sababu hili si suala la kisiasa bali ni maendeleo ya wananchi wenyewe na ni sehemu ya maisha ya kawaida kuchukua taarifa za kaya pia kwa ajili ya usalama wa raia na mali zao.

Jukwaa Huru linapenda kuwaambia umma wa Watanzania na wananchi wa Dar es Salaam kuwa duniani kote maendeleo ya watu huletwa na tafiti.

Tunawaasa na kuwasihi wana Dar es Salaam na kote Tanzania litakakofanyika zoezi hili na mengine wananchi tutoe ushirikiano kwani kupanga ni kuchagua na tunahitaji takwimu kwa maendeleo yetu hasa wakati huu ambapo Serikali inataka kuanza ugawaji wa Sh. Milioni 50 kusaidia maendeleo ya kaya.

Ahsanteni sana.

*Imetolewa* _17/07/2016_ DSM.

*Andrew Kadege*.
0756 911 342
M/kiti wa Jukwaa Huru La Wazalendo Mkoa Wa DSM .
Njaa ni kitu kibaya sana
 
Hili jukwaa si la ccm, mbona wanaleta mambo ya Siasa taka kwenye mambo yanayo husu misha ya watu.
Wao wanampinga meya kama nani, wametumwa na makonda kutafuta Kiki hapa.
Am optimistic that Hili zoezi halifiki popote, I stand to be corrected.
Ukiona zoezi linafuatwa na matamko lukuki juwa zoezi limeshindwa kabla halijaamza.

Ningekuwa mimi Makonda ili kufanikisha zoezi, ningehakikisha nashirikiana na mameya, madiwani, wenyeviti na watendaji wa mitaa maana hawa ndio walio karibu na watu.

Yeye kwa kutumia madaraka yake anafikiri anaweza kufanyakazi na polisi pekee.

Bila hao watendaji, nawahakikishia hili zoezi halitofanikiwa kamwe.
 
Upuuz mtup
*JUKWAA HURU LA WAZALENDO TANZANIA*

_*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*_

" _TAMKO LA KULAANI KITENDO CHA MEYA WA JIJI KULETA SIASA KWENYE MAENDELEO NA USALAMA_"
*Ndugu waandishi wa habari*
Jukwaa limewaita mahali hapa kueleza masikitiko na kulaani kitendo cha Meya wa Jiji la Dar es Salaam Ndugu Mwita kutaka kuwapotosha kwa makusudi wananchi wa Dar es Salaam na Taifa kwa ujumla juu ya agizo halali la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda.

Mtakumbuka kuwa hivi karibuni Ndugu Makonda katika kuhakikisha wananchi wa mkoa wake wanatambulika ili kufanikisha mipango mbalimbali ya Serikali na baada ya mashauriano na wataalamu wake alitangaza zoezi la kuchukua taarifa za kaya.

Hata hivyo ndugu wana habari Jukwaa limesikitishwa na kuibuka kwa Ndugu Mwita ambaye badala ya kuunga mkono zoezi hilo au kusaidiana na viongozi wenzake yeye ameibuka na kufanya harakati na siasa za kubeza ubunifu huo.

Kauli hiyo ya kiharakati ya Meya Mwita imekuja wakati ambapo hata mmoja wa walezi wa Ukawa, Ndugu Edward Lowassa akiwa amekemea na kuonesha kuchoshwa na siasa za kiharakati badala ya zile za maendeleo.

Jukwaa linakemea vitendo vya namna hii ambavyo vinarudisha nyuma jitihada za dhati za Serikali ya Awamu ya Tano na kuchelewesha jitihada za serikali katika kuhakikisha wananchi wake wanakijikwamua kiuchumi kwa sababu ya siasa tu.

Katika kuonesha yeye si mtu wa Maendeleo na wala hana umakini zaidi ya uanaharakati Meya Mwita ameandika kuwa wananchi wasitii agizo hilo kwa sababu halina kibali cha kuwapekua wananchi kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.

Meya amelaghai umma. Sheria aliyoitaja inaainisha utaratibu wa masuala mbalimbali kunapokuwa kumetendeka makosa mbalimbali ya jinai.

Swali; ni wapi agizo la RC Makonda limetamka kwamba Jeshi la Polisi likawakague watuhumiwa wa Makosa ya Jinai?

Ndugu wanahabari ni watuhumiwa pekee wa makosa ya jinai ndio wanaotakiwa kukaguliwa kwa mujibu wa sheria hiyo aliyoitaja Meya Mwita.

Agizo la RC Makonda liko wazi na linelenga kuwatambua wananchi wake katika kaya ili kuweza kupanga mipango ya kuwahudumia kama ambavyo pia mazoezi kama hayo yameshafanyika katika miji mikubwa duniani kama vile London, Paris na hata Berlin.

Ndugu wanahabari tunaweza kujikumbusha katika kuona kuwa Meya Mwita ametoa kauli ya ajabu sana katika zama hizi kwa kukumbushana kuwa mara kadhaa mazoezi kama sensa na tafiti mbalimbali za ngazi ya kaya vimefanyika bila wahusika kuwa na kibali cha upekuzi kama Meya anavyopotosha.

Ndugu wanahabari, Jukwaa linajaribu kuhoji tuna viongozi wa namna gani ikiwa wanashindwa kujua na kutofautisha kati ya siasa na maendeleo?

Agizo la RC Makonda ni halali na halihitaji kibali kwa sababu hili si suala la kisiasa bali ni maendeleo ya wananchi wenyewe na ni sehemu ya maisha ya kawaida kuchukua taarifa za kaya pia kwa ajili ya usalama wa raia na mali zao.

Jukwaa Huru linapenda kuwaambia umma wa Watanzania na wananchi wa Dar es Salaam kuwa duniani kote maendeleo ya watu huletwa na tafiti.

Tunawaasa na kuwasihi wana Dar es Salaam na kote Tanzania litakakofanyika zoezi hili na mengine wananchi tutoe ushirikiano kwani kupanga ni kuchagua na tunahitaji takwimu kwa maendeleo yetu hasa wakati huu ambapo Serikali inataka kuanza ugawaji wa Sh. Milioni 50 kusaidia maendeleo ya kaya.

Ahsanteni sana.

*Imetolewa* _17/07/2016_ DSM.

*Andrew Kadege*.
0756 911 342
M/kiti wa Jukwaa Huru La Wazalendo Mkoa Wa DSM .
Upuuz mtupu
 
Kaka hatakama unatumiwa na Makondaa kwa maslahi binafsi , utumie na akili zako. WanaDar es salaam sio wa kupelekeshwa na ndo mana tuliwapiga chini CCM mwaka jana.

CCM na viongozi wake pamoja na wewe kibaraka mmezidi unafiki. Siasa ziliisha mwaka jana, sasa ni utendaji

Mshauri aliekutuma anapokuwa anatoa matamko basi ajue na kuyasimamia.

SHAME ON YOU.
 
Kwenye maswala ya maendeleo tuna kila sababu ya kuweka siasa pembeni.....kwani huyo Meya ana elimu gani????au ndo wale vvlaza
 
Eti jukwaa huru

Mbona mnajikomba namna hiyo sasa?

Huyo ni Makonda katika ubora wake wakati akiomba msamaha kwa mkurupuko wake
45dec40293fd073296ffcd83be2adfbf.gif

Na nyie jukwaa feki muache kujikomboa
 
*JUKWAA HURU LA WAZALENDO TANZANIA*

_*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*_

" _TAMKO LA KULAANI KITENDO CHA MEYA WA JIJI KULETA SIASA KWENYE MAENDELEO NA USALAMA_"
*Ndugu waandishi wa habari*
Jukwaa limewaita mahali hapa kueleza masikitiko na kulaani kitendo cha Meya wa Jiji la Dar es Salaam Ndugu Mwita kutaka kuwapotosha kwa makusudi wananchi wa Dar es Salaam na Taifa kwa ujumla juu ya agizo halali la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda.

Mtakumbuka kuwa hivi karibuni Ndugu Makonda katika kuhakikisha wananchi wa mkoa wake wanatambulika ili kufanikisha mipango mbalimbali ya Serikali na baada ya mashauriano na wataalamu wake alitangaza zoezi la kuchukua taarifa za kaya.

Hata hivyo ndugu wana habari Jukwaa limesikitishwa na kuibuka kwa Ndugu Mwita ambaye badala ya kuunga mkono zoezi hilo au kusaidiana na viongozi wenzake yeye ameibuka na kufanya harakati na siasa za kubeza ubunifu huo.

Kauli hiyo ya kiharakati ya Meya Mwita imekuja wakati ambapo hata mmoja wa walezi wa Ukawa, Ndugu Edward Lowassa akiwa amekemea na kuonesha kuchoshwa na siasa za kiharakati badala ya zile za maendeleo.

Jukwaa linakemea vitendo vya namna hii ambavyo vinarudisha nyuma jitihada za dhati za Serikali ya Awamu ya Tano na kuchelewesha jitihada za serikali katika kuhakikisha wananchi wake wanakijikwamua kiuchumi kwa sababu ya siasa tu.

Katika kuonesha yeye si mtu wa Maendeleo na wala hana umakini zaidi ya uanaharakati Meya Mwita ameandika kuwa wananchi wasitii agizo hilo kwa sababu halina kibali cha kuwapekua wananchi kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.

Meya amelaghai umma. Sheria aliyoitaja inaainisha utaratibu wa masuala mbalimbali kunapokuwa kumetendeka makosa mbalimbali ya jinai.

Swali; ni wapi agizo la RC Makonda limetamka kwamba Jeshi la Polisi likawakague watuhumiwa wa Makosa ya Jinai?

Ndugu wanahabari ni watuhumiwa pekee wa makosa ya jinai ndio wanaotakiwa kukaguliwa kwa mujibu wa sheria hiyo aliyoitaja Meya Mwita.

Agizo la RC Makonda liko wazi na linelenga kuwatambua wananchi wake katika kaya ili kuweza kupanga mipango ya kuwahudumia kama ambavyo pia mazoezi kama hayo yameshafanyika katika miji mikubwa duniani kama vile London, Paris na hata Berlin.

Ndugu wanahabari tunaweza kujikumbusha katika kuona kuwa Meya Mwita ametoa kauli ya ajabu sana katika zama hizi kwa kukumbushana kuwa mara kadhaa mazoezi kama sensa na tafiti mbalimbali za ngazi ya kaya vimefanyika bila wahusika kuwa na kibali cha upekuzi kama Meya anavyopotosha.

Ndugu wanahabari, Jukwaa linajaribu kuhoji tuna viongozi wa namna gani ikiwa wanashindwa kujua na kutofautisha kati ya siasa na maendeleo?

Agizo la RC Makonda ni halali na halihitaji kibali kwa sababu hili si suala la kisiasa bali ni maendeleo ya wananchi wenyewe na ni sehemu ya maisha ya kawaida kuchukua taarifa za kaya pia kwa ajili ya usalama wa raia na mali zao.

Jukwaa Huru linapenda kuwaambia umma wa Watanzania na wananchi wa Dar es Salaam kuwa duniani kote maendeleo ya watu huletwa na tafiti.

Tunawaasa na kuwasihi wana Dar es Salaam na kote Tanzania litakakofanyika zoezi hili na mengine wananchi tutoe ushirikiano kwani kupanga ni kuchagua na tunahitaji takwimu kwa maendeleo yetu hasa wakati huu ambapo Serikali inataka kuanza ugawaji wa Sh. Milioni 50 kusaidia maendeleo ya kaya.

Ahsanteni sana.

*Imetolewa* _17/07/2016_ DSM.

*Andrew Kadege*.
0756 911 342
M/kiti wa Jukwaa Huru La Wazalendo Mkoa Wa DSM .
Hii ni dharau ya wazi kwa mtukufu Rais kwamba ukijipendekeza tu na kujitowa akili anakupa cheo.

Hivi kwa akili yako ndogo unadhani Mrema hastahili uteuzi ule? Mrema ndio muanzilishi wa Polisi post, board of parole inamfit kabisa.

Wewe bado kijana mdogo na una nguvu ni kwa nini usitafute kazi ya kufanya? Au ni kwa nini usijiunge kwenye ujasiliamali?

Hivi leo ukiulizwa wewe unafanya kazi wapi utajibuje? Haya maisha ya ujanja ujanja hayatatufikisha popote.
 
*JUKWAA HURU LA WAZALENDO TANZANIA*

_*TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI*_

" _TAMKO LA KULAANI KITENDO CHA MEYA WA JIJI KULETA SIASA KWENYE MAENDELEO NA USALAMA_"
*Ndugu waandishi wa habari*
Jukwaa limewaita mahali hapa kueleza masikitiko na kulaani kitendo cha Meya wa Jiji la Dar es Salaam Ndugu Mwita kutaka kuwapotosha kwa makusudi wananchi wa Dar es Salaam na Taifa kwa ujumla juu ya agizo halali la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bw. Paul Makonda.

Mtakumbuka kuwa hivi karibuni Ndugu Makonda katika kuhakikisha wananchi wa mkoa wake wanatambulika ili kufanikisha mipango mbalimbali ya Serikali na baada ya mashauriano na wataalamu wake alitangaza zoezi la kuchukua taarifa za kaya.

Hata hivyo ndugu wana habari Jukwaa limesikitishwa na kuibuka kwa Ndugu Mwita ambaye badala ya kuunga mkono zoezi hilo au kusaidiana na viongozi wenzake yeye ameibuka na kufanya harakati na siasa za kubeza ubunifu huo.

Kauli hiyo ya kiharakati ya Meya Mwita imekuja wakati ambapo hata mmoja wa walezi wa Ukawa, Ndugu Edward Lowassa akiwa amekemea na kuonesha kuchoshwa na siasa za kiharakati badala ya zile za maendeleo.

Jukwaa linakemea vitendo vya namna hii ambavyo vinarudisha nyuma jitihada za dhati za Serikali ya Awamu ya Tano na kuchelewesha jitihada za serikali katika kuhakikisha wananchi wake wanakijikwamua kiuchumi kwa sababu ya siasa tu.

Katika kuonesha yeye si mtu wa Maendeleo na wala hana umakini zaidi ya uanaharakati Meya Mwita ameandika kuwa wananchi wasitii agizo hilo kwa sababu halina kibali cha kuwapekua wananchi kwa mujibu wa Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.

Meya amelaghai umma. Sheria aliyoitaja inaainisha utaratibu wa masuala mbalimbali kunapokuwa kumetendeka makosa mbalimbali ya jinai.

Swali; ni wapi agizo la RC Makonda limetamka kwamba Jeshi la Polisi likawakague watuhumiwa wa Makosa ya Jinai?

Ndugu wanahabari ni watuhumiwa pekee wa makosa ya jinai ndio wanaotakiwa kukaguliwa kwa mujibu wa sheria hiyo aliyoitaja Meya Mwita.

Agizo la RC Makonda liko wazi na linelenga kuwatambua wananchi wake katika kaya ili kuweza kupanga mipango ya kuwahudumia kama ambavyo pia mazoezi kama hayo yameshafanyika katika miji mikubwa duniani kama vile London, Paris na hata Berlin.

Ndugu wanahabari tunaweza kujikumbusha katika kuona kuwa Meya Mwita ametoa kauli ya ajabu sana katika zama hizi kwa kukumbushana kuwa mara kadhaa mazoezi kama sensa na tafiti mbalimbali za ngazi ya kaya vimefanyika bila wahusika kuwa na kibali cha upekuzi kama Meya anavyopotosha.

Ndugu wanahabari, Jukwaa linajaribu kuhoji tuna viongozi wa namna gani ikiwa wanashindwa kujua na kutofautisha kati ya siasa na maendeleo?

Agizo la RC Makonda ni halali na halihitaji kibali kwa sababu hili si suala la kisiasa bali ni maendeleo ya wananchi wenyewe na ni sehemu ya maisha ya kawaida kuchukua taarifa za kaya pia kwa ajili ya usalama wa raia na mali zao.

Jukwaa Huru linapenda kuwaambia umma wa Watanzania na wananchi wa Dar es Salaam kuwa duniani kote maendeleo ya watu huletwa na tafiti.

Tunawaasa na kuwasihi wana Dar es Salaam na kote Tanzania litakakofanyika zoezi hili na mengine wananchi tutoe ushirikiano kwani kupanga ni kuchagua na tunahitaji takwimu kwa maendeleo yetu hasa wakati huu ambapo Serikali inataka kuanza ugawaji wa Sh. Milioni 50 kusaidia maendeleo ya kaya.

Ahsanteni sana.

*Imetolewa* _17/07/2016_ DSM.

*Andrew Kadege*.
0756 911 342
M/kiti wa Jukwaa Huru La Wazalendo Mkoa Wa DSM .

Nyie ni kundi la wahuni na watu wajinga. Mnasema wapi Makonda kasema atatumia jeshi la polisi? Msituletee mambo ya kitoto na kutujazia saver yetu ya JF bure kwa unafiki wenu. Hapa katika ukurasa wake Makonda kasemaje? Au mtasema password iliibiwa? S**~%type!
ImageUploadedByJamiiForums1468765254.697615.jpg
 
Back
Top Bottom