NGURI PORI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,053
- 3,259
Sijui na Nyie mmesikia . ? Au ni mm tu.
Swali langu la msingi.
Hilo ni agizo ama ?

Swali langu la msingi.
Hilo ni agizo ama ?


Hebu mwagika ukolee ardhini, tumesikia wapi?Sijui na Nyie mmesikia . ? Au ni mm tu.
Swali langu la msingi.
Hilo ni agizo ama ?![]()
![]()
Halafu Utakuta kati ya hao wanaupewa hayo mateso hadi Mikono kuchanika .wengi walifungwa Bila hati.Hivi sheria za wafungwa zukoje manake mkuu anasema wafungwa waliofungwa vifungo vya mda mrefu sana hakuna kukaa tu wapewe kazi mpaka mpaka wakione, na vipi wale wa maisha
Nipo Kilalacha, kwani Vp?Ivi Mwenyekiti wa Parole Yupo Wap .
Tamka Jambo Basi kuhusu wafungwa wako .. Nasikia wanatakiwa wakapasue Mawe ya Standard Guege ...mpaka Mikono Ichanike.Nipo Kilalacha, kwani Vp?
Acha wapasue tu, jela sio Marangu hotel.Tamka Jambo Basi kuhusu wafungwa wako .. Nasikia wanatakiwa wakapasue Mawe ya Standard Guege ...mpaka Mikono Ichanike.
Duu hongera mwenyekitiAcha wapasue tu, jela sio Marangu hotel.
Uvccm bado hawajawekewa bando waje mapovu yawatoke maana wao hata ujinga wanatetea ili mradi waingiziwe buku 7 yao tu
Kwa jina lako nikikujibu ntapata zambiTupo tunawaona mnavyokunya kunya hapa
HahahaaaTEREMA BHAGHAMBE