umeshalipia tangazo?
nifanunulie mkuu apo nmeambulia kuona kiwiliwili kisicho na kichwa na miguu
no! mods ndo wamebadilisha heading! niliimanisha nauza Juice Dispenser laki 390,000andika vizuri dogo hujaeleweka unauza juice laki 3 na 90???
Mbona bei ghali sana??no! mods ndo wamebadilisha heading! niliimanisha nauza Juice Dispenser laki 390,000
mkuu acha utani, we si unaona hiyo ni laki tatu na tisini elfu?Mbona bei ghali sana??
Wewe laki 390,000 unaijua wewe?? yaani laki ziwe 390,000???
Au umemaanisha laki 3.9?? (Tshs 390,000)???
Laki tatu na tisini inaandikwaga Laki 390,000??? Kama ndio sasa 390,000 nayo utaiitaje??mkuu acha utani, we si unaona hiyo ni laki tatu na tisini elfu?
tatizo unakaza ubongo sana Mkuu!Laki tatu na tisini inaandikwaga Laki 390,000??? Kama ndio sasa 390,000 nayo utaiitaje??
Unamaanisha Laki 390,000 na 390,000 ni sawa???
Elimu,
Elimu
Elimu,
Ajira zitatangazwa tu punguza stressLaki tatu na tisini inaandikwaga Laki 390,000??? Kama ndio sasa 390,000 nayo utaiitaje??
Unamaanisha Laki 390,000 na 390,000 ni sawa???
Elimu,
Elimu
Elimu,
SawaAjira zitatangazwa tu punguza stress
Poa,tatizo unakaza ubongo sana Mkuu!