Judiciary tuwekeeni database ya case law soft copy

hakiyako

Senior Member
Aug 24, 2014
162
225
Wakuu, samahani, sijajua kama mojawapo ya ubora wa sheria ni kunyimwa material ili uyatafute kwa shidaa. Judiciary pesa wanazo rais anawapa kila wakati wakiomba, tunaona kwenye tv, kwanini hawaweki database ya court of appeal cases zote zilizopita kweney website yao ili tuwe tunadownload au tunazitafuta na kuzipata kwa urahisi?

hizo unreported cases tafadhali kwanini msiweke kwenye database? hata kama watauza haman shita tutanunua. sasa zile chache walizoziweka kwanza wameweka kikoloni, hakuna mpangilio maalumu wa alfabeti n.k, huwezi kupata kesi unayoitaka kiurahisi. kitu gani kinawashinda? kwanini? na kesi zote ninyi ndio mnazo kwanini mnazificha?
 
Hansss

JF-Expert Member
Jul 17, 2015
2,371
2,000
Ngoja tutamuuliza kaimu jaji mkuu ili atekeleze ombi lako hivi bado hakuna jaji anaeweza kuongoza mhimili huu hadi leo kweli kila siku ni kukaimiwa tu??
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,027
2,000
Wakuu, samahani, sijajua kama mojawapo ya ubora wa sheria ni kunyimwa material ili uyatafute kwa shidaa. Judiciary pesa wanazo rais anawapa kila wakati wakiomba, tunaona kwenye tv, kwanini hawaweki database ya court of appeal cases zote zilizopita kweney website yao ili tuwe tunadownload au tunazitafuta na kuzipata kwa urahisi?

hizo unreported cases tafadhali kwanini msiweke kwenye database? hata kama watauza haman shita tutanunua. sasa zile chache walizoziweka kwanza wameweka kikoloni, hakuna mpangilio maalumu wa alfabeti n.k, huwezi kupata kesi unayoitaka kiurahisi. kitu gani kinawashinda? kwanini? na kesi zote ninyi ndio mnazo kwanini mnazificha?

Mkuu, Judiciary ya Tanzania imejaa ukiritimba huwezi amini. Kesi hata ikisha tolewa uamuzi kupata nakala watapata wenye kesi (wadaawa na mawakili wao tu). mtu wa kawaida si rahisi, labda upate za miaka mitatu iliyopita na wala si zote. Ukienda kichwa kichwa unauziwa (toa rushwa kwanza).

Zamani enzi za kina Nyalali kila jaji akitoa hukuma (wa mahakama kuu au rufaa) lazima ile hukumu itolewe nakala na isambazwe kwenye library za registries zote za mahakama kuu. Siku hizi wahusika ni wazembe, wamekalia kufanya kazi ambazo si zao.

Uwezekano wa kuifanya database ya judiciary iwe up to date inawezekana, lakini sababu ya ukiritimba wameshindwa au hawana nia kabisa. Wamejaza wataalamu wa IT ambao kazi yao ni ku install applications tu kwenye vikompyuta vya majaji wanavyopewa bure kila mwezi. Wengi wao hawajui cha maana kwenye masuala ya IT.

Sasa hivi wamekazana tu kumodify mfumo wa kielekronik ambao hauna faida kabisa kwa umma. kwa kifupi kama wanataka waboreshe kwenye hii sekta waweke mtu asiye mchoyo na asiye na manufaa yake binafsi.
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,027
2,000

hakiyako

Senior Member
Aug 24, 2014
162
225
tatizo liko wapi? kama kesi imeisha na wanataka tukienda kuargue tuwapelekee na nakala ya case law kama in unreported, wakati nakala zenyewe wanazo wenyewe, yaani tuzichukue kwao kwa ukiritimba na shida sana alafu tuwapatie wao wenyewe. waweke tu kwenye database case zote alphabetically au kwa miaka au miezi etc ziwe wazi ili principle za sheria zote ziwe wazi. kwani ukiwa mwanasheria lazima uumize kichwa kutafuta materia? badala ya kuumiza kichwa kutafsiri principle ya sheria?
 
Judicaialy zaidi ya tatizo la ukiritimba ni wazembe kweli. Mahakimu na majaji mi wavivu sana kufanya research, wataka watafuniwe kila kituna mawakili
 
cerengeti

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,878
2,000
Wakuu, samahani, sijajua kama mojawapo ya ubora wa sheria ni kunyimwa material ili uyatafute kwa shidaa. Judiciary pesa wanazo rais anawapa kila wakati wakiomba, tunaona kwenye tv, kwanini hawaweki database ya court of appeal cases zote zilizopita kweney website yao ili tuwe tunadownload au tunazitafuta na kuzipata kwa urahisi?

hizo unreported cases tafadhali kwanini msiweke kwenye database? hata kama watauza haman shita tutanunua. sasa zile chache walizoziweka kwanza wameweka kikoloni, hakuna mpangilio maalumu wa alfabeti n.k, huwezi kupata kesi unayoitaka kiurahisi. kitu gani kinawashinda? kwanini? na kesi zote ninyi ndio mnazo kwanini mnazificha?
Hii ni FURSA ya IT.
 
Naweza kukusanya baadhi ya cases na kuziweka katika mfumo wa kompyuta. E-mail :wigotz@gmail.com
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom