Judging Gaddafi with open mind!!!

Nguvu ya uma bila msaa toka nje sio rahisi labda jeshi limgomee na kwa Tanzania msubiri 2015. Na NATO hawaji kwani hamwezi kulipa $3Trillions
 
matatizo hayalingani,tuwaache walibya na uamuzi wao,kwetu tunaona Ghadaf hana tatizo,tukilinganisha na matatizo yetu,yawezekana kuna nchi nyingine zinashangaa kwa nini watanzania wanaichukia Ccm,kwa nini wanalinganisha na nch yao wanaona sisi tuko Juu.TUSIWALAUMU WALIBYA!
 

Gadaffi alikua na pesa za kuhudumia wananchi wa Libya ama zilikua ni pesa za Walibya zilifanya hayo mambo yote? Waafrika tutaendelea kuwa misukule ya watu kwa akili za kimasikini kama hizi.
 
@salisalumu. Mkuu nimestuka sana kusikia Membe anaombeleze kiasi hicho kwa kifo cha Gaddafi. Nilijiuliza kama huyu jamaa ni mtanzania ama mgeni aliyekulia Tanzania. Mimi nikiwa mtoto mdogo nakumbuka tulikimbia nyumbani,tukawa tunalala ktk vichaka,bdae ktk handaki kwasababu ya vita ya Idd Amin akisaidiwa na rafiki yake Gaddafi. Mpaka katika utu uzima wangu nilikua nikisikia ngurumo ya mvua nastuka sana. Sijawahi sikia kwamba Gaddafi aliomba msamaha kwa kitendo hicho. Msamaha hapa nazungumzia sisi wananchi tulioathirika na hiyo vita siyo viongozi waliokua huko Dsm. Mimi na baadhi yetu huku Kagera tunaposikia waziri wetu wa mambo ya nje anamlilia huyu muuaji tunabaki na maswali mengi kichwani.
 



AND EVERYONE THOUGHT GADAFFI WAS BAD?????

READ EVRYTHING B4 u CRITISE THE POST........

Libya and Libyan "dictator" Muammar Gaddafi:

1. There is no electricity bill in... Libya; electricity is free
for all its citizens.

2. There is no interest on loans, banks in Libya are
state-owned and loans given
to all its citizens at 0% interest by law.

3. Home considered a human right in Libya –
Gaddafi vowed that his parents
would not get a house until everyone in Libya had a
home. Gaddafi’s father has
died while him, his wife and his mother are still living
in a tent.

4. All newlyweds in Libya receive $60,000 Dinar (US$
50,000 ) by the government
to buy their first apartment so to help start up the
family.

5. Education and medical treatments are free in
Libya. Before Gaddafi only 25%
of Libyans are literate. Today the figure is 83%.

6. Should Libyans want to take up farming career,
they would receive farming
land, a farming house, equipments, seeds and
livestock to kick- start their farms
– all for free.

7. If Libyans cannot find the education or medical
facilities they need in Libya,
the government funds them to go abroad for it –
not only free but they get US
$2, 300/mth accommodation and car allowance.

8. In Libyan, if a Libyan buys a car, the government
subsidized 50% of the price.

9. The price of petrol in Libya is $0. 14 per liter.

10. Libya has no external debt and its reserves
amount to $150 billion – now
frozen globally.

11. If a Libyan is unable to get employment after
graduation the state would
pay the average salary of the profession as if he or
she is employed until
employment is found.

12. A portion of Libyan oil sale is, credited directly to
the bank accounts of all
Libyan citizens.

13. A mother who gave birth to a child receive US
$5 ,000

14. 40 loaves of bread in Libya costs $ 0.15

15. 25% of Libyans have a university degree

16. Gaddafi carried out the world’s largest irrigation
project, known as the Great
Man-Made River project, to make water readily
available throughout the desert
country.

AND EVERYONE THOUGHT GADAFFI WAS BAD?????
 

Alaaa!hivi kumbe aliomba msamaha eeh?!!!!
 
Mie naona serikali ya gadafi inayosemwa ni ya miaka mingi na imechokwa na inagawanya walibya serikali ambayo watawala wachache na familiarly zao ndio waliojuwa wanachokitaka anarcho wote, wanaofanya kila mbinu wabaki kutawala milele sioni tofauti kubwa na serikali ya ccm zaidi ya ccm kubadili SURA ya mtu anaesimama hightable
 
Mzee Cosmas chidumule aliwahi kuimba akiwa na oss ama sikinde,aliimba hivi "mtoto akililia wembe wacha umkate atapopata kidonda ndipo atapougopa,dada yetu wewe ulikwishaolewa lakini kwa tamaa yako ukaivuruga ndoa yako kwenda kuishi na bwana mwingine vimekukuta vya kukuta mwenyewe umetutangazia majuto ni mjukuu tukusaidie nini sema nduguzo tulikuasa na mapema kwamba huyo bwana mdanganyifu ukatuona cc watu fitina tunakuonea gere umepata bwana mwenye pesa atakujengea nyumba atakununulia gariee sasa unajuta,usilieee dada unalia nini na wewe ulisema umempata bwana ataekufaa maishani wako,cc tulijua hiyo ni chambo tu sio kwako peke yako hata kwa hao walioolewa kabla yako(Egypt na Hosni Mubarak) tuwaona mitaani kila siku tunapanda nao uda na daladala hakuna kibanda wala nyumba"


Mtoto Akililia Wembe - YouTube
 
ina maana wale maelfu kwa maelfu waliokuwa wakiandamana ni wajinga



Ndiyo ni Wajinga,walighiribiwa na hila za Mataifa tajiri na wasalati wachache wa Gadaffi kuanzisha Uasi,huyo Gaddafi wanaye mwita Mbaya ametoa Elimu Bure, Nyumba Bure Maji Bure,Afya Bure,Nishati Bure...........Bure,vitu hivi hata hao ******* Marekani havitolewi bure,vinalipiwa na Wamarekani wanapumulia Mashine!!
Hata siku moja usithubutu kuamini Propaganda za Wamarekani na Walaya,wamemuua Gaddaffi Walibya,wakisaidiwa na nani,kama isingekuwa hawa *******-baridi NATO waasi wasingeweza!!

I assure u merytina,Walibya watamkumbuka Gadaffi,neno "Bure" watalisikia katika Bomba!!
 

Hivi uko Tanzania wewe? Mbona una mawazo ya Kimarekani, maana hakuna Muafrika anaeamini Israel ni Taifa la Mungu, sasa si ni wakina nani? Hayo ni mawazo yanayotumiwa na watu kama nyie kuhalalisha UBABE wa ISRAEL na MArekani katika Dunia ya Tatu, Kiukweli am very disappointed on u, bora sie wengi hatuna Haki ya Admin ningekuwa nimekushughulikia kimoja.
 
bado mijitu hapa ina mawazo ya kimagharibi. Kifo cha gadafi na kikwete ni usiku na mchana. Wazungu sasa wanapumua baada ya kmwondoa kidume. Halafu wenye akili nyepesi lazima wataunga mkono kifo cha gadafi
 

mkuu si tulishaambiwa kuwa ukitaka kumshika mwafrika masikio kwa uzuri usimsimulie. Muwekee kwenye maandishi. Ndo hiyo mijitu unayobishana nayo. Iko karibu %90 Afrika nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…