Mohamed Ismail
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 228
- 249
Kwani wewe shuleni hukufanya mapenziMapenzi na shule havichanganywi
Mada ya jukwaa la elimu unaileta mapenzini
Kwani wewe shuleni hukufanya mapenzi
Ubarikiwa sana hata mimi sijawahiSijawahi kufanya mapenzi tangu nizaliwe
Kweli mwambie asikoseBaba yangu alisoma hapo. Ngoja nimwambie aje kwenye mnuso.
Yeah nimeamua niwasake na hukuMkuu Watu Wa Bwiru Imebidi Uje Kuwatafuta MMU
majirani tutakutana DiamondNa tunaokaa karibu na Bwiru boys tunaomba mwaliko
Nyinyi ndio mnahitajika kabisa watu wa kitangiri ukara mihama kirumba nyamanoro pasiansiNa tunaokaa karibu na Bwiru boys tunaomba mwaliko
Hahhaahaaa fanya hivyo banaTakuja kumuwakilisha mzeee dingilili wangu ila harambee sichangii