Juan Mata vs Santi Cazorla vs David Silva.

Juan Mata vs Santi Cazorla vs David Silva.

Acheni Ushabiki Pembeni SILVA ni mkali of all (Anazo sifa zote za mchezaji bora), Followed by Mata (Ni mzuri sana kwa kutengeneza nafasi hasa kwa pass ndefu na kufunga pia-Tunapokutana na Chelsea huwa nakosa kabisa amani anapokuwa na mpira ana uwezo wa kuleta madhara kwa style mbalimbali) then Cazola- ni mzuri pia kwa kupiga mashuti lakini hana creativity kubwa kulinganisha na Wenzie

Judging from the last game with us..Silva is the better player. Ila kwa msimu huu honestly hajacheza quality ile nimfahamuyo. Go back to the chelsea fc thread kuna mahali nimeandika ningetamani silva angekuwa mchezaji wa chelsea..ni mwepesi zaidi.
Cazorla on the other side..nikisema ntaonekana nawapondea Ars8.

Juan Mata yuko juu hasa kwa msimu huu coz Silva kashuka sana kiwango tofauti na msimu uliopita, Carzola kaachwa mbali na hao jamaa

Asante Mourinho!
 
Last edited by a moderator:
Silva Ni Tishio Na Mancity Ni Yeye Toure Na Aguero Ndo Wanaibeba Timu
 
Mtarukaruka weeee, lkn Little Santi is the BEST!

cazorla.jpg

Mwenye macho na ajisomee statistics hizo za EPL. Tena bora hata huyo Mata, Silva ndio kwisha kabisa.
 
Silva Ni Tishio Na Mancity Ni Yeye Toure Na Aguero Ndo Wanaibeba Timu

Anatisha huko kwao Etihad, akija Emirate ni koko tu. Ana goli moja msimu huu, na assist 3. Our Little Santi has scored 11, Mata 10 and Silva just 1.

Amefunga magoli mengi kuliko hata Fernando Torres ambaye ni forward wa miaka kibao.
 
Mtarukaruka weeee, lkn Little Santi is the BEST!

cazorla.jpg

Mwenye macho na ajisomee statistics hizo za EPL. Tena bora hata huyo Mata, Silva ndio kwisha kabisa.

Na hii ni kwenye ligi tarehe za zamani kidogo. Nikikuwekeeni stats za Cazorla kwenye michuano yote mtakimbia nyie wanazi.

Kati ya hawa mnaowalinganisha naye hakuna hata mmoja aliyewahi kupiga HAT-TRIK
 
Duuh!haya bhana,twende!twende!twende!
 
Santiago Cazorla ni hakunaga,wengine baadae saaana!
 
Na hii ni kwenye ligi tarehe za zamani kidogo. Nikikuwekeeni stats za Cazorla kwenye michuano yote mtakimbia nyie wanazi.

Kati ya hawa mnaowalinganisha naye hakuna hata mmoja aliyewahi kupiga HAT-TRIK

Nadhani mjadala ushaisha kwa ushahidi uliotuwekea.
 
Santiago Cazorla ni kiungo mpambanaji kati ya hao japo marta hayupo nyuma sana,kwa kweli silva hawafikii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom