Jua vifupisho na maana zake

Jua vifupisho na maana zake

Lyangalo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2009
Posts
679
Reaction score
236
STK - Serikali ya Tanzania Kimeo

STG - Sister Tangulia Gheto

IFM - Institute of Female Management

UDSM - Ujinga kwetu Daima na Sasa Mtauona

MZUMBE - Mimi Zungu la Mbeya

DG - Demager General

DHL - Dingi Hajala Limbwata

FBI - Female Body Inspector

Phd - Pure Head Damage


ATM - Another Terrible Mashine

CBG - Combination of beautiful girls

PCM - People Calculating like Machine

CCM - Chuo Cha Milembe

FANTA - Foolish African Never Trial Alcohol

KONYAGI - Kunywa, Ongeza Nguvu Yako lakini Angalia Gongo Inaua

TIA - Tayari Ingiza Aise
 
hahahahaaaa, kumbe hata hilo jina lako linaweza kuwa na maana yake!!!
 
Lyangalo bwn,umenchekesha kweli: ila-FANTA si Foolish Africans Never Take Alchol na STK sisi tunakula kuku, alafu PhD permanent head damage. Mkuu ngeruhusiwa ningekosoa ivo.
 
Imetulia, nimependa hasa hiyo ya Chuo Cha Milembe!
 
STK - Serikali ya Tanzania Kimeo

STG - Sister Tangulia Gheto

IFM - Institute of Female Management

UDSM - Ujinga kwetu Daima na Sasa Mtauona

MZUMBE - Mimi Zungu la Mbeya

DG - Demager General

DHL - Dingi Hajala Limbwata

FBI - Female Body Inspector

Phd - Pure Head Damage


ATM - Another Terrible Mashine

CBG - Combination of beautiful girls

PCM - People Calculating like Machine

CCM - Chuo Cha Milembe

FANTA - Foolish African Never Trial Alcohol

KONYAGI - Kunywa, Ongeza Nguvu Yako lakini Angalia Gongo Inaua

TIA - Tayari Ingiza Aise
Panaongoza kwa definition hapa
 
Sisi wakwere bana lol
STG-Sista Tangulia Gheto
CBG-Combination of Biutiful Girls
macho yote yalikuwa hapo:bange:
 
1. HKL=Hakuna Kuingia Laboratory 2.CIA=Co*k Inside A*s 3.FFU=Fungua Fanta Unywe 4.JWTZ=Jeshi la Waislamu Tanzania
 
FFU fanya Fujo Uonne

MOSHI(mji wa kaskazini kwa wachaga) Mungu Onesha Sasa Hela Ilipo

SU Soma Ule

JKU (kule zanzibar wanaita Jeshi la Kujenga Uchumi)Jumbe Kauza Unguja

SMZ Samahani Mzee Zuberi

TVZ TV Zuzu

CHADEMA - CHama Cha Domokaya na Endelezo la Majungu
 
Back
Top Bottom