JPM na JK serikali zao kama hazina tofauti.

Feb 25, 2013
17
5
Naombeni tofauti kati ya JPM:mawaziri 34, makatibu wakuu 50 total 84 na JK: mawaziri 58 na makatibu 22 total 80 katika gharama(mshahara na posho)
 
ni kama ulikuwa moto wa mabua fulani kama umeshazima tayari. isije kuwa wameshamshughulikia wanaanga, tumuombee jamani.
 
Serikali ya Kikwete ilikuwa na makatibu 22!? Nenda kajipange upya. Umechemka mbaya mtoa post.

Halafu ukitaka kujua moja ya tofauti ya serikali ya JK na Magufuli gusia suala la safari za nje. Hujui ni kiasi gani kilikuwa kinapotea...hakika ungejua ungekaa kimya tu.
 
Tofauti ni JPM ni "Results Oriented"..
Kwanza jinsi anavyokimbiza watu mi ningeshauri hata angeongeza size ya serikali yake.
 
ni kama ulikuwa moto wa mabua fulani kama umeshazima tayari. isije kuwa wameshamshughulikia wanaanga, tumuombee jamani.
Watanzania mnatia aibu...Kwahiyo JK alikuwa na makatibu wakuu 22 wa wizara?

Hivi hata mtoto wa darasa la 1 anakushangaa...utawezaje kuwa na wizara zaidi ya 30 halafu uwe na makatibu 22!? Tumieni akili.
 
Halafu nimeona hapo mtoa post ameandika Magufuli ana makatibu 50...Hivi jamani, hata kutafuta taarifa sahihi hatuwezi!? Sasa tutawezaje kuwa taifa la uchumi wa kati ikiwa taifa lina vilaza wengi hivi!?
 
Nadhani ungekuwa mstaarBu Kama ungemshMbuliA mtoa mada kwa hoja. Kama umeona hayuko sahihi mpinge kwa kwa wewe kieleza serikali iliyopitA ilikua na makatibu wangapi na sasa ni wangapi na ipi ni kubwa. Kushambulia tu doesn't mean nothing
 
jambo la msingi kwangu mimi, sijali kama ana makatibu 22 au hata 100, ninachojali mii ni je, watafanya kazi na kuibadilisha nchi? basi, hata baraza lingekuwa kuuuubwa kama lina manufaa kwani kuna shida gani? tatizo ni pale wanakuwa wengi na hali inabaki palepale.
 
J
Serikali ya Kikwete ilikuwa na makatibu 22!? Nenda kajipange upya. Umechemka mbaya mtoa post.

Halafu ukitaka kujua moja ya tofauti ya serikali ya JK na Magufuli gusia suala la safari za nje. Hujui ni kiasi gani kilikuwa kinapotea...hakika ungejua ungekaa kimya tu.
Safari za nje kafuta sio tu kupunguza gharama iko sababu nyingine nyuma ya pazia ila huijui.Ukijua kwanini kikao cha south africa alienda rais mstaafu na makamo wa raisi wakati kilikuwa muhimu na nchi zote walienda maraisi walioko madarakani kutokana na umuhimu wake utaelewa tu kwanini safari za nje zimesimamishwa.
 
mkuu funguka basi kwa manufaa ya gt
 
jambo la msingi kwangu mimi, sijali kama ana makatibu 22 au hata 100, ninachojali mii ni je, watafanya kazi na kuibadilisha nchi? basi, hata baraza lingekuwa kuuuubwa kama lina manufaa kwani kuna shida gani? tatizo ni pale wanakuwa wengi na hali inabaki palepale.
Hute
You are very right! Sababu kweli hili baraza limekua kubwa kutokana Idadi kubwa ya makatibu wa wizara lakini Kama ni baraza la wachapakazi na wenye kujali maslahi ya nchi basi personally I will have no concern about its size. Tatizo litakuja Kama hawa mabwana watageuka wasanii. My only problem is there are at least two appointees that I am not comfortable with! At least the ones I know from my experience with them!! One of them handed a sensitive ministry! Another one a permanent secretary!! I am left to question how on earth did the president decide or was convinced to appoint these two!
 
J
Safari za nje kafuta sio tu kupunguza gharama iko sababu nyingine nyuma ya pazia ila huijui.Ukijua kwanini kikao cha south africa alienda rais mstaafu na makamo wa raisi wakati kilikuwa muhimu na nchi zote walienda maraisi walioko madarakani kutokana na umuhimu wake utaelewa tu kwanini safari za nje zimesimamishwa.
Nahurumia wazazi wako kuzaa zimwi bila kujua. Bora mama yako angetoa tu mimba yako kuliko kupata uchungu wa jitu la aina yako.
 
mkuu funguka basi kwa manufaa ya gt
Iko siku itajulikana mkuu.Huwezi ficha udhaifu miaka yote iko siku udhaifu utajulikana tu.Lengo hapa ni jingine ambalo halitafanikiwa iko siku tu atanasa kwenye net. Yaani atajitahidi kukukuruka lakini lazima atanasa tu.Ila kuanzia mwaka huu nina wasiwasi speech zote hadi za wageni watakohudhuria hapa nchini zitakuwa kwa kiswahili hili nalitegemea muda mfupi ujao na hata tukienda nje tutazungumza kiswahili mkalimani awatafsirie ili kukuza lugha yetu
 
Halafu nimeona hapo mtoa post ameandika Magufuli ana makatibu 50...Hivi jamani, hata kutafuta taarifa sahihi hatuwezi!? Sasa tutawezaje kuwa taifa la uchumi wa kati ikiwa taifa lina vilaza wengi hivi!?

Hawa ni sympathizers wa Kikwete wanaona Magufuli anafanya mambo ya uhakika ndio wanataka kuwapotosha watu ili wawaamini kuwa eti mtu wao nae alikuwa na uchungu na matumizi ya nchi; penye ukwell uongo hujitenga, Kikwete alikuwa mfuja mali za chi huku mwenzie ni mtunza mali za chi!! Huna haja ya kwenda bali; mawaziri wake Kikwete wenyewe wanamsifia Magufuli kwani wanakili kuwa walikuwa wanafanya safari za nje na kupishana kwenye viwanja vya ndege kana kwamba nyumbani kwao kulikuwa kunaungua[ kuna vita]!!!
 
Iko siku itajulikana mkuu.Huwezi ficha udhaifu miaka yote iko siku udhaifu utajulikana tu.Lengo hapa ni jingine ambalo halitafanikiwa iko siku tu atanasa kwenye net. Yaani atajitahidi kukukuruka lakini lazima atanasa tu.Ila kuanzia mwaka huu nina wasiwasi speech zote hadi za wageni watakohudhuria hapa nchini zitakuwa kwa kiswahili hili nalitegemea muda mfupi ujao na hata tukienda nje tutazungumza kiswahili mkalimani awatafsirie ili kukuza lugha yetu

Mkuu....:sitegemei kusikia kama tatizo lilikua ni lugha.....puliiz...,.
Marais wengi sana hawaongei kingereza......na pia sio issue kivile......hebu tufafanulie.....sababu hasa ilikua ni nini......
 
Ni kweli marais wengi sana hawaongei kiingereza lakini hapa kwetu sio utamaduni wetu je utakapotaka kuuvunja unajua maneno ya watanzania? Subiri utaona maajabu ya musa muda si mrefu
 
Back
Top Bottom