Umachinga sasa utakuwa mgumu, wengi wao walikuwa wanachukua bidhaa kwa malikauli bila kupewa risti. Kumtaka machinga awe na risti ya bidhaa zake, wengi wataondoka barabarani.
Ndugu yangu, hii inayokuja ni operation nzuri sana kama Polisi watatimiza wajibu wao na kulinda maandanano hayo ya Amani na mikutano kama walivyo Fanya Jana. Lakini Polisi wakifanya bila weledi na kufuata uchochezi unaojengwa na Ccm na kuwashambulia yatatokea maafa ambayo hatujawahi kuyaona.
Watu wanadhani kuvunja mtu mguu au kumuua ndio ushindi, la hasha jiulize huyo uliye mvunja kama kachoma jengo la chama au ofisi ya umma hasara ikoje? Au kachoma kituo cha mafuta mjini kati taharuki itakuwaje?
Tufanye kila tuwezalo kuzuia haya yasitokee kwani yaweza kuleta madhara kwa wake na watoto zetu ambao hawajaandamana. Biashara zetu na makazi yetu yaweza kuathirika pia.
Kiburi hakilipi.
Sass hivi ukifika mwanza kama unagari no ni tabu kubwa sana hamuna parking na hata sehemu zinye pavement za watembea kwa mguut zone zimepangwa bidhaa za wamachinga