JPM azuia Jiji, Manispaa kutimua machinga

Waturuhusu nasisi wanywa gongo tulijituma sana kupiga kampeni, halafu mgambo na watendaji wa vijiji walishatufanya dili, kinachotakiwa ni kutuwekea mazingira mazuri ya upikaji na unywaji.
 
Chadema watapinga,maana wao kazi yao ni kutetea mafisadi, wakwepa kodi na wahujumu uchumi.
Hawana muda wa kuwatetea machinga,mama ntilie kwa Sababu hawana fedha za kuwapa kama zile wanazopewa na mafisadi.
 
Huo sio u genius bali ni ukosefu wa mikakati, genius hawezi kuongoza kwa kutegemea matukio.

Kama ataongoza nchi kwa kuangalia wapinzani wamepanga kufanya nini hatofanikiwa.
 
JPM is a failure on progress. He knows what he can't achieve. He's using vandalism leading the ignorant majority.
 
Imagine hapo kabla ya kauli ya Mkuu haijatoka.Sasa ndio kasema.
Ndio Shida, kazi za katibu kata ufanye wewe, Mbunge wewe, meya wewe, DC wewe.
Hayo mambo angeweza kuziambia mamlaka kukaa pamoja na machinga na kupanga vema la kufanya
 
Ndio Shida, kazi za katibu kata ufanye wewe, Mbunge wewe, meya wewe, DC wewe.
Hayo mambo angeweza kuziambia mamlaka kukaa pamoja na machinga na kupanga vema la kufanya
mtamwelewa lisu anamaanisha nn hv ww una frem unalipia bei kubwa unalipia serekali mapato huyu mmachinga anatandika apo nje halipi kodi halipi frem na iyo bidhaa anaiuza bei rahisi mteja ataenda wapi? daa jamaa anatakiwa apate ushauri sana kabla hujatoa haya matamko
 
Kwa maana hiyo unaona ni sawa rais kuruhusu wamachinga kufanya biashara mijini?? Tutakuwa na miji ya namna gani??
Kwakuanzia inabidi machinga wa Ubungo mataa warudi, na pale Posta wakaweke miamvuli yao na waendelee na biashara. Poor Tanzania.
 
Dah
 
Watu hawadanganyiki kitoto namna hiyo!
 
Kila mtu afanye kazi kulingana na utaratibu waliojiwekea na sio kushauriwa na mkurupukaji.
 
Never undermine grassroot organization skills za mzee Lowasa!, watakuja watu hutojua wametokea wapi!
Dah..Si ni huyu huyu alisema kazi ya kulinda kura tumuachie yeye ??[emoji15] [emoji124] [emoji124]
 
ndo maana rais alixma kila machinga ahakikishe bdhaa anayouza awe na risiti mkonon inayotambua kwmb amenunua na amelpia kodi kwa njia hyo hapo hamjaelewa kwel au na hlo lnahtaj twshen???
 
Mtukufu Rais anaakili sana mpaka sasa hivi amekwisha piga kichwa mkia ndo umebaki unarukaruka
 
Umachinga sasa utakuwa mgumu, wengi wao walikuwa wanachukua bidhaa kwa malikauli bila kupewa risti. Kumtaka machinga awe na risti ya bidhaa zake, wengi wataondoka barabarani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…