JPM Atoa Million 700

Hii mijitu ya ccm bana. huo ni mpango wa wizara ya afya na si Arusha peke yake Kata ziko nyingi ambazo wanapatiwa fedha hizo kuboresha vituo vya afya.na hizo fedha magufuli hajatoa mfukoni kwake ni kodi yako wewe na mimi na kila mtanzania anayelipa kodi. hivi ujinga mtaacha lini?
 
Amezitoa mfukoni mwake au ni kodi zetu?!!!
 
Ujinga tutaacha pale tu Bashite atakaposema meli ya wachina haijagharimiwa na Mkulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…