Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Je na huko tuseme kapendelea[emoji15]Wadau was JF
Mojawapo ya malengo ya Serikali ya awamu ya tano ni Uboreshaji wa Sekta ya Afya nchini. Malengo hayo yanazidi kutimia pamoja na changamoto mbalimbali zinazojitokeza.Katika kutekeleza hilo hivi karibuni Mhesh Rais wetu Dr John Pombe Magufuli ametoa Tshs millioni 700 kwa ajili ya Ujenzi wa Kituo cha Afya Muriet Mkoani Arusha.
Hongera sana JPM kwa utekekezaji wa vitendo wa ahadi ulizotoa kwa watanzania wakati wa Uchaguzi.
Hongera zao sisi huku tunapamba na hari zetu.Je na huko tuseme kapendelea[emoji15]
Hakuna lolote wanapendelewa maana hela hiyo haikuwa kwenye bdget.....HONGERA LEMA KWA JITIADA ZAKO.
Sema kodi zetu zimepangiwa kuboresha huduma za afya sio katoa, anakiwanda binafsi cha kutengeneza pesa? Hilo ni jukumu lake sio hisani.
Mungu anasababu ndio maana hilo haliweziAngeweza pia kuzitumia kupandia ndege na kwenda kutanulia ng'ambo.