JPM Ameacha Wami Bridge,SSH katuletea Tozo!

Mwehu
 
Poleni sukuma gang kama mnapenda sana nendeni mkajizike nae
Hata wewe kama hupendi kusikia habari zake toka kwa hao unaowaita sukuma genge unaweza ukafa tu kupumzisha safari zako za kila saa huku jamii forums kuja kucomment kwenye nyuzi zinazomuhusu maana hazitaisha!
 
Picha tafadhali ukiweka hapa tujue kwani wengine tuko huku Kwa Wamakonde Mtwara.
Acha kutudhalilisha wamakonde. Mimi niko huku Nkotokwiana kijijini lakini niko up-to-date! Nenda YouTube, search daraja la wami utaona mpaka video za jana!
 
Kwa kweli watu wanaokuja hapa kumtetea Kikwete mimi nawaona wana upungufu wa either uelewa au wa akili kabisa!
 
Serikali inatumia hela za walipakodi kujenga miundombinu.
Achaneni na personalities!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…