Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake.
Nimekua nikiona post zake mara kwa mara akisema single life na akishauri wanawake wenzake kutokukaa kwenye ndoa zenye matatizo,hizi statement mbili hizi zinaonyesha kuna walakini kwenye marriage yake. View attachment 594454
Kileo alikua na haki kumtaliki huyu aliyeamua kujivika uccm ili kutetea kipindi cha wanawake live, mke bora husimama na mumewe hata kwa kulala njaa badala ya kujipekecha mdomo gizani