Joyce Banda!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,242
Reaction score
14,886


alikuwa raisi wa kwanza ya malawi mwanamke alichukuwa pia uraisi kama makamu baada ya raisi aliyekuwepo kufariki, uchaguzi ulipofika alishindwa akaachia bila ya mauaji wala majeshi ingwaje alikuwa na makashi kashi ya kufunguliwa mashitaka na serikali iliyofuata kwa ufisadi lkn alishinda akarudi malawi leo anaishi malawi kama rais mstaafu na hata uchaguzi uliopita alishiriki bila ya mafanikio ...

hizi ndio accolades zake kwa mujibu wa wiki

''In June 2014, Forbes named Banda as the 40th most powerful woman in the world and the most powerful woman in Africa. In October 2014, she was included in the BBC's 100 Women ...''

lkn Joyce Banda ni Christian pia ...
 
Malawi kuna demokrasia
Tanzania hatuwezi kujifanananisha na Malawi hata kwa kutania ,jamaa wametuacha mbali sana .

Mfano kwenye Uchaguzi wao wa mwaka huu , siunajua vinatanguliaga kupiga kura vyombo vya usalama hasa jeshi kabla ya raia , jamaa walimpiga chini Rais aliyepo madarakani mbele ya macho yake na ulivyokuja uchaguzi wa Raia akapigwa chini akakubg'uta vumbi akatembea na akasindikizwa na onyo la uharibifu wa carpet la Ikulu 🤣🤣wale jamaa siyo aisee
 
Dah 😂
 
Nimesikiliza speech ya malkia alipokuwa akitawazwa imejaa ubabe nimesikitika sana.
 

Maza kesha haribu kabisa. Akitoka hapo safari zake zitakuwa ni Dar, Kizimkazi na Oman kwa Wajomba zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…