Wadau ni muda sasa natafuta izo chanel,kusema kweli nimekwama total,mwenye ujuzi nazo anisaidie tafadhari... Frqnce,simborate dish size,uelekeo na sat yake Kwani nataka nizitumie kwenye dish la zuku, vp zitafaa au.?
Dish la zuku litafaa
joysports na joyTV zinapatika katika MULTITV ambayo ni FREE TO AIR SATELLITE na ipo ASTRA 2F @28.2" E yaani kama una dish la DSTV libetue tu kidogo utapata au unaweza kufunga LNB mbili kwa wakati mmoja i.e ya DSTV na ya MULTITV
Pia inazo Channel mbili ambazo zinaonesha EPL na kila moja mara moja kwa week channel nyingine mbali na hiyo Jaysport ni Ghana TV
Kwa maelezo zaidi tembelea Lyngsat
Scroll Down uitafute MULTITV
Astra 2F at 28.2°E - LyngSat
HAPPY HUNTING
Kwa nyongeza tumia freequency 12525 H 27043 lkn dish lako liangalie uelekeo wa maghalibi pale karibu na inapopatikana ZUKU.Dish la zuku litafaa
joysports na joyTV zinapatika katika MULTITV ambayo ni FREE TO AIR SATELLITE na ipo ASTRA 2F @28.2" E yaani kama una dish la DSTV libetue tu kidogo utapata au unaweza kufunga LNB mbili kwa wakati mmoja i.e ya DSTV na ya MULTITV
Pia inazo Channel mbili ambazo zinaonesha EPL na kila moja mara moja kwa week channel nyingine mbali na hiyo Jaysport ni Ghana TV
Kwa maelezo zaidi tembelea Lyngsat
Scroll Down uitafute MULTITV
Astra 2F at 28.2°E - LyngSat
HAPPY HUNTING
Mbona haukuleta feedback?