Los santos
JF-Expert Member
- Jan 14, 2021
- 1,190
- 2,655
Ila cha ajabu Mungu alivyo FUNDI haumwi Ila wewe msafi ukigusa tu ukala kinyesi kipindupindu hiki hapaLeo nimekutana na mtu ananuka beberu akasome mbele alafu kwenye makwapa hajanyoa nywele mpaka zimebadilika rangi zimekuwa kama ugolo mixer maziwa yani ni kinyaa aisee yani ni masikitiko aisee Kuna maswali unabaki kujiuliza huyu mtu hajishtukii unajikuta unakosa majibu. Kwa ule uchafu hata mbu hawezi msogelea
Hii ndio justification ya kutooga na kunuka uvundo? Ogeni acha visingizioIla cha ajabu Mungu alivyo FUNDI haumwi Ila wewe msafi ukigusa tu ukala kinyesi kipindupindu hiki hapa
Kaka siyo kwenye daladala ,huyo mtu Niko kwenye interaction naye za Kila siku na siwezi mkwepa kwa sasaNunua gari mkuu uepukane na hizo kero! Ila kwenye daladala hakuna namna vumilia hali zote
Mboni unasema ogeni?Hii ndio justification ya kutooga na kunuka uvundo? Ogeni acha visingizio
Mwogeshe mmwagie maji hata Chupa la 700 mpe 500 akaoge bafu za kulipiaKaka siyo kwenye daladala ,huyo mtu Niko kwenye interaction naye za Kila siku na siwezi mkwepa kwa sasa
[emoji16][emoji16][emoji16]sasa mtu timamu unaanzaje kula kinyesi kwa makusudi labda ule bila kujijua? Pia kuumwa ni topic nyingine aise Wala hukutakiwa kuihusisha na hii mada....kwamba kwakuwa haumwi ndo aendelee kuwa mchafu??Ila cha ajabu Mungu alivyo FUNDI haumwi Ila wewe msafi ukigusa tu ukala kinyesi kipindupindu hiki hapa
[emoji16][emoji16]Hii ndio justification ya kutooga na kunuka uvundo? Ogeni acha visingizio
Issue anyoe nywele za kwapa ,ukiwa unaoga bila kuzingatia mambo muhimu kama usafi wa kunyoa nywele ,kujisafisha vizuri basi hata uoge Kila muda harufu kali haitoishaMwogeshe mmwagie maji hata Chupa la 700 mpe 500 akaoge bafu za kulipia
Kweli kbsa mkuu ,afadhali umeelewa hili JOTO lilivyo kero vs uchafunaunga mkono hoja. kwa huo mjoto wa daslam kisha ukawa mchafu ww si mtu bali kiumbe
Nadhani itasaidia kupunguza hili tatizo....Uchafu ni kisanga sna.
WATU WACHAFU INABIDI WAKAMATWE NA WAPIGWE VIBOKO.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mnunulie wembe wa 1000 mpe mwambie umnyoe au anyoe mwenyeweIssue anyoe nywele za kwapa ,ukiwa unaoga bila kuzingatia mambo muhimu kama usafi wa kunyoa nywele ,kujisafisha vizuri basi hata uoge Kila muda harufu kali haitoisha
Nunua wembe au mashine ya kunyolea mwambie umnyoe alafu umuone atakataa au vipi ukishindwa mpe 2000 mwambie akanyoeIssue anyoe nywele za kwapa ,ukiwa unaoga bila kuzingatia mambo muhimu kama usafi wa kunyoa nywele ,kujisafisha vizuri basi hata uoge Kila muda harufu kali haitoisha
Nishamuambia anunue shaver alafu anyoe mwenyewe , Mimi siwezi mnyoa kwapa mtu na akili zake timamuMnunulie wembe wa 1000 mpe mwambie umnyoe au anyoe mwenyewe
Mpige dongo yeye kupitia story nyingine,yaani mwambie ukweli wake ila siyo straight mpaka ahisi una msema yeye. I hope ume nielewa kama mtu mzima.Kwakweli kwa hili JOTO la DSM alafu kama watu hawazingatii USAFI binafsi basi hao wanastahili kunyanyaswa kisaikolojia kwa kuwaambia maneno makali yanayoumiza.
Leo nimekutana na mtu ananuka beberu akasome mbele alafu kwenye makwapa hajanyoa nywele mpaka zimebadilika rangi zimekuwa kama ugolo mixer maziwa yani ni kinyaa aisee yani ni masikitiko aisee Kuna maswali unabaki kujiuliza huyu mtu hajishtukii unajikuta unakosa majibu. Kwa ule uchafu hata mbu hawezi msogelea
Na sitaki kuamini Kuna watu nguo za ndani wanavaa mpaka zivunde kwa JOTO hili la DSM lenye laana...
Kataa uchafu, uchafu ni tatizo la akili