Joti na Mpoki walivyomuigiza Jengua kafulia kwenye Orijino Komedi

Ilikuwa kazi ya sanaa tu. Ndio maana hata jiwe aliwahi kuigizwa akitoa hesabu ya jumla ya samaki na dagaa mchele kwenye maziwa na madimbwi yote Tanzania.
 
Ile ni sanaa na pengine ni fundisho kwa watu waliopo juu wasidharau wale wa chini maana kufulia ni kama kunusa tu,maisha hubadilika.
 
Tusitetee ujinga. Utani kwa mgonjwa?Kama kuigiza mtu mgonjwa na wakati ni mgonjwa kweli ndio kustaarabika basi heri tuendelee kuwa washamba wengine
 
Hakuna eliedhalilishwa
Comedy huwa anataniwa yoyote hata Malkia na Mfalme...

Mradi alietaniwa alikuwa hai hai ilikuwa haki yake kutaniwa..
Haimaanishi walitaka age au walifurahia kifo chake....tuache ushamba
Watanie kule chato tuone
 
Nakumbuka walimuigizaga mtu mmoja hivi nimesahau, alovyokutana na Joti alikimbia hatariau ile ya marehemu Komba japo mwenyewe alikasirika
 
Ilikuwa kazi ya sanaa tu. Ndio maana hata jiwe aliwahi kuigizwa akitoa hesabu ya jumla ya samaki na dagaa mchele kwenye maziwa na madimbwi yote Tanzania.
Mbona Rais alipoigizwa tu simple na Idris sultan angalia kilichotokea. Si Idris msanii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom