Kumbe ndio huyu wa job true trueUmesahau signature yako kazi kweli kweli/job true true.
Sasa Joti naye msanii?Huwa nawashangaa watu wanaowafatilia hao wasanii
Kazi zao
Ova
Nyumba ipi? Hiyo ambayo haijaisha na hata taa haziwaki? Fala tu huyu dogo. Kama ana hela akasomeshe watoto hata hapo genesisMuafrika akishakuwa na uhakika wa maisha watu wengine wote anawaona wapumbavu tu!
Joti amekula mpaka amevimbiwa nyumbani kwake kuna standby generator umeme wa tanesco ukikata umeme kwake anawasha generator.
Kwa kifupi hana shida yoyote kwa io anavyoona chadema wanaandamana anawaona km wapumbavu.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app