Joshua Nassary, kulikoni...?


nzi wa chooni wana rangi ganiii
 

Asante mkuu kwa kutusaidia kumjibu huyu mjumbe hapo juu,maana wengine tumepoteza moral ya kuangalia Bunge sababu limepoteza maana kabisaaa(kariakoo)
 
-alichangia mara 1 katika bunge kabla ya bunge hili la budget(mwez wa 4)
-aliuliza swali 1 kwa waziri mkuu,
-aliuliza swali 1 kwa waziri wa mali asili na utalii
-alichangia budget kwa maandishi
-alichangia budget ya waziri mkuu
sasa mkuu unataka akuwakilishe vipi zaidi ya hivi..?
 
Godwinnko eka nsuri...
 
Last edited by a moderator:
Babu,uwe unauliza watu wanaongalia bunge ..Jamaa mbona anaongea

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Nadhani anataka hadi asikie Nassary katolewa nje ya Bunge ndo atakuwa amesikika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…