Joshua Nassari MB.

Hivi ile smg ya malima kule moro alibaki nayo ama ilibaki mikononi mwa polisi.

Fikiria angeshikwa nayo mtu kama LEMA au WENJE au SUGU hali zao zingekuwaje leo kisiasa + Ki amani
 

Kuna wana CDM JF werevu na wenye akili!
Kumbe mnafahamu hilo?
Sparring partner wa CDM ni CCM , mkiingilia kuchezea utaifa kijinga kijinga utapewa mfupa wa sheria kuutafuna.
 
Kuna wana CDM JF werevu na wenye akili!
Kumbe mnafahamu hilo?
Sparring partner wa CDM ni CCM , mkiingilia kuchezea utaifa kijinga kijinga utapewa mfupa wa sheria kuutafuna.

Mbona wezi wa rasilimali zetu hamuwaoni lakini mnawakamata wanaowaamsha waliolala?
 
Nimependa alivyoachiwa_ila sijapenda maneno aliyoropoka,...ajifunze kufikiri kabla ya kusema.
Hajaachiwa bado mikononi mwa polissi tokea saa nane mchana anahojiwa na kutoa maelezo
 
Huyu Dogo awe makini sana na maneno yake.

acha woga wewe,unafikiri ukombozi unapatikana kirahisi na unajua maana ya demokrasia,majukwaa ya siasa,mbona akina mkapa hamukuwaita kuwahoji?.nawashanga sana kwanza ndo mnampaisha na kumfunya awe maarufu
 

Asante kamanda kwa ufafanuzi
 
Mkuu tunategemea utatujuza kitakachojiri baada ya Mh. Nassari kuandika maelezo yake
 
Namuona Nasari anaingia hapa kwenye ATM za CRDB Meru Branch
 
hivi kauli kwamba Rais ajaye hawezi kutoka kaskazini na kuwa jina la rais huyo analo JK haiwezi kuleta uvunjifu wa amani na sio kauli ya uchochezi mbona hakuna aliyehojiwa???

Kusema rais atoke upande gani haimaanishi kuwa unakata kipande cha nchi hivyo haiwezi kuwa sawa na kusema wewe unakuwa rais wa jamuhuri ya meru
 
hivi kauli kwamba Rais ajaye hawezi kutoka kaskazini na kuwa jina la rais huyo analo JK haiwezi kuleta uvunjifu wa amani na sio kauli ya uchochezi mbona hakuna aliyehojiwa???

Hilo nalo neno....nimeilike!
 
Mbona hamjadili Suala la Kujitenga kama likitokea inakuwaje, zuri au baya. Hamjadili. Mmebaki kusema Nasari achunge kauli, mwingine akasema atumie brain yake, awe makini mambo mengi ila nauliza Kujitenga ni dhambi?

Pale Kahama gold inachimbwa vito vya thamani vinatoka pale lkn wakazi wa/na lile jimbo ni masikini tofauti na rasilimali zilizopo pale wanaofaidi ni wengine kina Mkapa, JK na team zao. Hao watu wa Kahama wakisema tunataka tujitenge ni KOSA?

Switch to the point siyo unasema Nasari amekosea, achunge kauli zake, atumie brain yake haisaidii chochote. Lastime ulikuja usemi kwamba Upinzani unaleta vita, lkn leo hii kila mtu anasema Pipooz Power ni nzuri. Kwa hiyo ninachosema tutafakari, tujadili suala la kujitenga lipo na linakuja
 
Ukisha muita dogo we unataka afanye nini? acheni upuuzi na mwache dogo akomae nao kudadake
 
Tunatambua maneno ya uchochezi au yanayoweza kuvuruga amani hutamkwa na CDM CCM aaaah!wapi bwana hao ni watakatifu wa Mungu.kwani kusema Raisi ajae hawezi kutoka kaskazini au Jina la rais ajae analo JK sio uchochezi au haiwezi kusababisha uvunjifu wa amani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…