PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,458
Kwani nasari anatofauti gani na huyu kamanda mwingine wa chadema kwangu mimi naona wote majuha tu.
Simiyu Yetu ni lini umeandika jambo la maana toka uzaliwe maana hata mamayako anajuta kuwa na mtoto kama wewe
__gunia la viazi lina thamani kuliko wewe
Kama kwenye Sakata la ESCROW alishindwa kuchangia chochote zaidi ya kuzomea wenzake! ataweza kuwatumikia wananchi? huyu na SUGU akili ndio zile zile!
Simiyu Yetu ni lini umeandika jambo la maana toka uzaliwe maana hata mamayako anajuta kuwa na mtoto kama wewe
__gunia la viazi lina thamani kuliko wewe
Msalani bwana ka jina lake.... kwani magamba wangapi walichangia? Wengi walikuwa wanatetea ufisadi.... sasa kama unachukia ufisad coz ulitaka nasasari achangie, unafanya nini huko au ndo wale CCM Maslahi msemo wa Mzee Warioba!!!!....Kama kwenye Sakata la ESCROW alishindwa kuchangia chochote zaidi ya kuzomea wenzake! ataweza kuwatumikia wananchi? huyu na SUGU akili ndio zile zile!
Msalani bwana ka jina lake.... kwani magamba wangapi walichangia? Wengi walikuwa wanatetea ufisadi.... sasa kama unachukia ufisad coz ulitaka nasasari achangie, unafanya nini huko au ndo wale CCM Maslahi msemo wa Mzee Warioba!!!!....
Hongera sana Nassary kweli wewe ni kiongozi mzuri, lakini angalizo hizo kauli za "HAKUNA WA KUNITOA ARUMERU" si njema kwa usalama wa demokrasia sababu elewa kuna jamaa watatangaza nia mdani ya chama mwakani, sasa kwa kauli kama hizi zitawachefua wenzako ndani ya chama.
Kama kwenye Sakata la ESCROW alishindwa kuchangia chochote zaidi ya kuzomea wenzake! ataweza kuwatumikia wananchi? huyu na SUGU akili ndio zile zile!
Vijana wengine ni hasara tupu!
Hafahamu kama waliomuweka hapo alipo ndiyo watakaomtupilia mbali.
Vijana kama hawa hafahamu kama siasa au mazingira yanabadilika.
HATA CCM YAKO INAPASWA KUFAHAMU KUWA MAZINGIRA YANABADILIKIA, ZAMA ZA KUTEGEMEA POLISI ZIMEKWISHA
Mwenyezi Mungu akiamua hata leo anaweza kumuondoa!
HATA MWENYEZI MUNGU AKIAMUA HATA MUDA HUU CCM YAKO YAWEZA KUONDOKA PIA