Mahakama kama mhimili wa dola karibu kunyang'anywa nguvu na heshima yake na wanasiasa, hali inatisha. Hakimu anakataa kusaini Removal Order wakati huo huo RC alionekana mahakami na kukiri lakini alikwenda kumsalia jaji mkuu mahakamani sijui hajui hotel aliyofikia!!!!Du. kazi kweli kweli. haya mambo yatatuingiza vitani jamani.
mi nilidhani Mkandamizaji mkuu wa Democrasia ni Tume ya Uchaguzi na Katiba Mpya.
Kumbe na Jeshi la Polisi, Mahakama na Serikali vinashiriki kwa kiwango kikubwa namna hii.
Watu watakuwa desperate na kureact vibaya sana muda si mrefu, Namuomba Mwenyezi
Mungu hili lipishe haraka kwa salama.
Hivi wewe unajua maana ya RC? au kwa sababu unajua herufi ni kuandika tu. Tangu lini Zuberi akawa RC. Bila shaka wewe ni zero. bora kusoma post za wenzako kuliko kuandika utumbo.Huyu RC wa Arusha na Zuberi ndio chanzo cha vurugu Arusha. Waondoke haraka kabla mabaya zaidi hayajatokea. Kikwete na Serikali yake itambue hilo. Sehemu yoyote Duniani hakuna nguvu kubwa kuliko ya umma.
Huyu RC wa Arusha na Zuberi ndio chanzo cha vurugu Arusha. Waondoke haraka kabla mabaya zaidi hayajatokea. Kikwete na Serikali yake itambue hilo. Sehemu yoyote Duniani hakuna nguvu kubwa kuliko ya umma.
Hivi wewe unajua maana ya RC? au kwa sababu unajua herufi ni kuandika tu. Tangu lini Zuberi akawa RC. Bila shaka wewe ni zero. bora kusoma post za wenzako kuliko kuandika utumbo.

Kwa kutumia akili ya kawaida nani mchemfu hapo?Hivi wewe unajua maana ya RC? au kwa sababu unajua herufi ni kuandika tu. Tangu lini Zuberi akawa RC. Bila shaka wewe ni zero. bora kusoma post za wenzako kuliko kuandika utumbo.