Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,448
- 4,987
lazima amdai hapa kitomari alikuwa anajitangaza kupitia jf na alipata wateja sana,ila toka mwaka jana december analaumiwa sana kwa utapeli si member huyu,angalia jukwaa la wajasilimalia ameliza sana jf memberWewe acha ujinga 240,000/= anakuja kuzidai kupitia JF umeambiwa Jukwaa hili ni kwa ajili ya kutangaziwa watu madeni?kuna siku huyo mleta mada atagongewa mkewa na kutuwekea humu kuwa kuna jamaa kamgongea mkewe kwa hiyo anatuomba tumuogope sana huyo jamaa.
December 16/12/2014...mbona haijafika mkuu. Acha kutufanya maboya.
Nashauri JamiiForums waifute thread hii
acha utahira yeye katoa caution ili watu wengine wasifanywe mbaya kama yeye. Ulivyo mburula unalinganisha suala la madeni na papichi; hahaha
Pole sana, unaonekana hujielewi.
mkuu kimsingi kauli zako sio nzuri nadhani mletra mada ameleta hiyo mada hapa kwa kuwa hata muhusika alitangaza biashara yake kupitia huku kule kwenye ujasiriamali.ok by the way Ndugu Mawere pole ila kila kitu kina mipango ila usikate tamaa
december 16/12/2014...mbona haijafika mkuu. Acha kutufanya maboya.
Nashauri jamiiforums waifute thread hii
December 16/12/2014...mbona haijafika mkuu. Acha kutufanya maboya.
Nashauri JamiiForums waifute thread hii
Pole sana, unaonekana hujielewi.
240,000/- Kelele zote hizo inaonyesha jinsi gani Watanzania tulivyo masikini na ndio maana CCM wanapata mwanya wa kutawala kwa kuwahonga wali, kanga na kofia
Huyu hapa kaja kwa ID ingine.
mi naishi mwanza alishanipigia simu tufanye biashara nkashituka.
So this jamaa ndio kitomari mwenyewe?
240,000/- Kelele zote hizo inaonyesha jinsi gani Watanzania tulivyo masikini na ndio maana CCM wanapata mwanya wa kutawala kwa kuwahonga wali, kanga na kofia
Atafutwe arejeshe,
kuna member humu wanachafua JF kwa kuwalaghai member wengine na kuishia kuwatapeli.
Kuna mmoja kupitia humu JF namkusanyia nguvu,nilimwagiza mzigo january mwaka huu hadi sasa sijaipata.
Huko nje wanachomwa moto,humu ndani sijui tuwafanyeje!
Huyu hapa kaja kwa ID ingine.
mi naishi mwanza alishanipigia simu tufanye biashara nkashituka.
So this jamaa ndio kitomari mwenyewe?