Kweli kabisa. Pia yapo mengine ya wakubwa (mashosti wa mramba), kuhodhi huduma muhimu ikiwamo maji...Natamani kuwa mwanaROMBO kwa namna walivyomkurupusha fisadi Mramba
Chezea ingine ila hapana ROMBO
Mh Mbunge:Tunaomba uje JF kuna mambo kadhaa wa kadhaa tulitaka kupata ufafanuzi likiwemo hili la elimu na umiliki wa Ziwa Chala (BY MRAMBA &Co)kama linavyolalamikiwa na wadau
Huyu muheshimiwa (Mbunge wa Rombo) kwa bahati mbaya hajaweka mawasiliano yake kwenye website ya CDM kama wabunge wenzake.
Nakuomba mheshimiwa kama unapita huku JF, unipatie mawasiliano yako kwani kuna mambo mengi yanayohusiana na shida za wananchi huku Rombo tunataka utusaidie kwa kufuatilia na ushauri.
Kama kuna mtu ana namba yake naiomba.
Namba yake ni 0754/0784 580201