Joseph Selasini amelipa baada ya kushindwa Chadema

Mbona wengi sana kiongozi!
Yule wa Mombo, nimesahau jina.
Yule wa afya, nimesahau jina nae.
Waitara n.k na hapo sijataja DCs, RASes, RCs n.k
Waliteuliwa wakiwa wanachama wa chadema?
 
Amevuna alichopanda.. Hivi act ipo hai kweli? Kimya chao kinasumbua
 
CHADEMA ni taasisi imara na yenye intelijensia ya hali ya juu mno ndio maana imeweza kusimama imara mpaka leo! Mungu ibariki CHADEMA.
Kuna mtu atasema mbona haijawahi kuongoza nchi, mbona hamna jengo la kisasa la ofsi kuu au mbona hamna hata mbunge mmoja.
 
Nccr yenyewe pale mwenye jambo la maana ni mbatia tu alikuwa alama ya chama Sasa kama kapinduliwa sion mwenye ushawishi pale
 
Ujinga mtupo umeandika kama chama kinaweza kuvurugwa na mtu mmoja kuna maana gani ya kuwa mwanachama wake
 
Chadema wapo vizuri ila sasa watengeneze cream ya vijana ambao watakuwa tayari kuwa viongozi wa Kitaifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…