Huyu ndio alimng'oa Mramba kule Rombo.
Wananchi walimpigia kura za HASIRA baada ya Mramba kuwatukana kina mama wa Rombo.
Sasa yupi afadhali, huyu au Mramba?
hapo sisiem ndo wajiulize inakuwaje mgombea wao anashindwa na mtu bogus, either mgombea wao ni bogus zaidi au watu wamechoka wapo tayari kuchagua jiwe kuliko sisiem
Na CHADEMA pia inabidi wajiulize ilikuwaje wakachukua makapi ya sisiemu??
Whichever way.... by default alikuwa CCM, then akaenda NCCR na sasa ni CDM!!!!!Huyu katokea NCCR Mkuu vipi tena ?.Dr W Slaa ndiyo alitokea CCM mpaka hapo upo ?.
Yaani? Alikuwa anapigiwa makofi na wabunge wa ccm kuanzia mwanzo hadi mwisho. Kwani historia yake ya vyama ikoje, alikuwa chama gani kabla?
Kama unakumbuka walipo toka Bungeni kupinga upitishwaji wa Kanuni ya kambi maalumu, Kuna Mbunge alikuwa akimtaja Selasini kuwa amejiunga na wahuni!!! tena alikuwa kisisitiza sana nikawa natafakari kati ya Wabunge wote wa Chadema kwa nini yeye ndiye anaye tajwa kwa jina tena kwa kusisitiziwa.
Whichever way.... by default alikuwa CCM, then akaenda NCCR na sasa ni CDM!!!!!
Kwa weli asilimia kubwa ya wapinzani walio na umri zaidi ya miaka 40 walishawahi kuwa na kadi ya ccm wakati fulani wakati wa ujana wao. Kuwa mwanachama wa ccm ilikuwa ni lazima ili uweze kupata huduma yoyote au uwe kwenye taasisi yoyote, including jeshi
Kauli yako hii ilipaswa kuja na tangible data kwanza. Nachelea kusema imekaa kisiasa zaidi. Ungefafanua huduma zipi hizo, au taasisi gani hizo. Kuna makuruta walikuwa jeshini au national service lakini hawakuwa wana CCM.
mamluki huyo..............kwenye msafara wa mamba kenge nao wamoNafikiri ni wa CHADEMA?tumezoea bogus wako CCM,sasa ilikuwaje?:laugh::laugh:
I think they need to manage themselves otherwise warudi walikotoka
Gurudumu,
Nimezungumza nae. Amekanusha hayo yote uliyoandika. Sijaona Hansard. Unaweza kunisaidia taarifa zaidi kuthibitisha maneno yako? Kama mwanachama wa CDM nina haki ya kulalamika dhidi ya kauli kama hizo na hatua zitachukuliwa. Ni makosa makubwa kama tutabaki kushutumu viongozi wetu wholesale bila kujua ukweli na sababu za misimamo yao.
Napinga sana fikra kwamba CDM is a whole mass and each has to think in the same way. That isnt right!
Heshima kwako MsandoAlberto,
Mwaka huu tutakanusha kila jambo.Bahati mbaya akina Hamad Rashid,Cheyo Mapesa,A L Mrema na David Kafulila hawana watetezi ........... Siku wakijitokeza watetezi wa wasiokuwa na watetezi jamvi litanoga.
yote aliozungumza selasini shauri yake lakini hila na wanafunzi wa kata kufika chuo kikuu ndo limeniumiza, kwani shule hizi zimeanza 2005 hvyo 2009 product ya kwanza ikatoka sasa toka 2009 mpaka mwaka huu kweli wamefika chuo kikuu lini?? hata kama wamefika chuo kikuu basi ni asilimia robo tu ya wanafunzi wote je? hawa wengine selasin anajua walipoishia???