Joseph Romani Selasini afanya kweli Rombo

Joseph Romani Selasini afanya kweli Rombo

Acha ulofa , rejea maneno ya Msigwa akimshukuru mh rais Iringa
Acha ujinga rejea maneno ya mkuu wa mkoa wa Mbeya mzee Chalama ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa Iringa kuhusu Jiji l Mbeya kuchagua upinzani.
 
Elimu,elimu ,elim wewe mtanzania acha uvivu soma tena uelewe.Acha kukoment kitu usichoelewa wala kusoma.
Mifuko mia ukigawa kwa kata 28 ina maana kila kata mifuko mitatu ya sementi na nusu inatosha kufanyia kazi gani jamani ni heri angejipanga na kuja upya haitasaidia kitu hiyo.
 
Mwandishi wa hii habari haeleweki vyema, kuna sehemu ameelezea ametoa mifuko
100 kwa kila kata kwa kata 28 ( mifuko 2800) na kuna sehemu ameelezea ametoa mifuko 100 kwa ajili ya kata zote 28. Ila kwa vyovyote vile hizi habari za wabunge kugawa vitu si njema, tutatengeneza viongozi wezi tu ili warudishe pesa anayogawa.
 
Diamond Platnumz atoa bima kwa watu 100 wa Tandale,pamoja na mambo mengine katoa mitaji kwa kina mama kadhaa wa Kata hiyo, Mungu mbariki Simba
Hivi wanaosema kagawa mbegu kwa mtoto wa bashite ni kweli
 
Diamond Platnumz atoa bima kwa watu 100 wa Tandale,pamoja na mambo mengine katoa mitaji kwa kina mama kadhaa wa Kata hiyo, Mungu mbariki Simba
Amber Ruttty atoa tak.ko pia kwa chalii wawili
 
View attachment 916065

Mbunge wa jimbo la Rombo mkoa wa Kilimanjaro kupitia CHADEMA ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Kilimanjaro JOSEPH ROMAN SELASINI siku ya tar 29/10/2018 amechangia maendeleo ya jimbo lake hilo baada ya kuchangia mifungo 100 ya cement kwa kila kata.

Mh Joseph Roman Selasini ambaye amekua Mbunge wa jimbo hilo tangu mwaka 2010 amekabidhi mifuko hio ya cement kwa madiwan wote wa kata za jimbo hilo. Jimbo la Rombo lina jumla ya kata 28 na kata zote zimenufanika na msaada huo wa mifuko 100 kutoka kwa Mbunge Selasini maarufu kama BABA PAROKO.

Madiwan wa kata zote wamemshukuru sana Mbunge wao kwa msaada huo mkubwa ambao utakua chachu ya maendeleo katika kata zao, aidha madiwani hao mmoja mmoja wamesema Mh Selasini ni mfano mkubwa wa kuigwa na wabunge wengine kwani amekua msaada mkubwa kwa jimbo hilo tangu mwaka 2010 alipokua Mbunge kwa Mara ya kwanza.
Pia Mh JOSEPH ROMAN SELASINI (baba paroko) amewashukuru sana madiwani wa jimbo hilo kwa kazi ambazo wanafanya na ushirikiano mkubwa, vilevile Mh SELASINI amewaomba madiwani hao kuendelea kushirikiana na wananchi ambao wanawatumikia ili kuleta maendeleo chanya ya jimbo zima la Rombo
Hongera sana... hizi ndo siasa zinazotakiwa, maendeleo hayana chama
 
Mwandishi wa hii habari haeleweki vyema, kuna sehemu ameelezea ametoa mifuko
100 kwa kila kata kwa kata 28 ( mifuko 2800) na kuna sehemu ameelezea ametoa mifuko 100 kwa ajili ya kata zote 28. Ila kwa vyovyote vile hizi habari za wabunge kugawa vitu si njema, tutatengeneza viongozi wezi tu ili warudishe pesa anayogawa.
Anaiba kutokea wapi?
 
Back
Top Bottom