NCHI YANGU TZ
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 663
- 233
Nafikiri ITV walifanya mshtuko kwa kijana huyo hana elimu licha ya utajiri wake.
sehemu kubwa ya mali anamsimamia ni za mzee wa CHATO ....................barabara
Nafikiri ITV walifanya mshtuko kwa kijana huyo hana elimu licha ya utajiri wake.
Ccm haina viongozi wenye maono,hawako tayari kukumbana na mawazo kinzani,wameingia serikalini au kwenye chama kwa lengo la maslahi.
Hawawezi kujenga hoja,sana sana watatoa vitisho,na kusena watakuitia polisi.Msukuma anajua angeumbuka maana anajua hadi kupata cheo hicho alikipataje
CCM imebaki kama gofu!!!walioko ndani ni popo na bundi ambao wote hutoka usiku!!!!
Hapana umeongopa kusoma anajua na kuandika pia sema hana elimu ya zaidiya darasa la saba.
Mawazo Geita anatosha Mwingine wa nini.
Ni vizuri mdanganyane wote ili mje mlie pamoja pia wakati ukifika.
Huyu bwana namjua sana hajui kusoma wala kuandika ndio kibajaji anawatetea kwenye katiba
Mawazo Geita anatosha Mwingine wa nini.
Kwani Kibajaj nae si yuko kundi hili hilo??
Ni vizuri mdanganyane wote ili mje mlie pamoja pia wakati ukifika.
Msukuma ni kilaza mlopokaji mzuri Alphonce Mawazo ni kiongozi ambaye atakidhi matakwa ya wanaGeita
Mawazo Geita anatosha Mwingine wa nini.
tudanganyane nini
Nikweli anajua kusoma na kuandika tusimchafue kwa hilo, ila unajua kuwa sehemu ya mali aliyonayo ni ya mzee wa CHATO?
Chama chetu ili uwe kiongozi siyo lazima uwe mjenga hoja,bali uwe kada wa kujipendekeza kwa wakubwa,mwenye pesa nyingi za ufisadi na unawachukia watanzania wanaopenda mageuzi.Mambo ya hoja na usomi kwetu yamepitwa na wakati.
Ndiyo mawazo yenu BAVICHA, unakadigirii kamoja usumbufu mtu wakati huwezi hata kukatumia kukupa chakula cha mchana kazi kuomba hutaki kazi , kijana jitambue , fanya kazi ndio msingi wa maendeleo