Standalone
JF-Expert Member
- Nov 15, 2014
- 676
- 576
Joseph Mbilinyi(MB) mbunge wa Mbeya Mjini amekuwa mastari wa mbele sio tu kwa kueneza elimu ya Uraia ndani ya Mkoa wa mbeya bali kwa kutekeleza ahadi zake kama mbunge... Tuungane pamoja kumpongeza kwa kazi nzuri ambayo haiihitaji uprofesa kuona. Pichani chini: Mbunge Sugu. Akiendelea na zoezi la kufunga kompyuta mashuleni, hapa ni sekondari ya Iganzo jimboni kwake mbeya.
Kazi aliyoifanya Sugu Mbeya hakuna Mb yeyote atakayeweza kuifikia, Jamaa anapiga kazi kimya kimya hanamajigambo. Kinachoonekana ni kile anachokifanya.
Halafu we unayedai "Msanii at work" Abou Saydou, tambua hawa ndio wasanii tunaowataka. Sio kama wale walioko magogoni kila muda ni kukenua meno tu kanakwamba kunamashindano ya kutabasamu duniani..!!!
Njoo uone uzuri wa wasanii wa ukweli hapa Mbeya then ukasimulie kwenu Msoga au kule Lindi.
BACK TANGANYIKA
Ameshatekeleza ahadi zake kwa asilimia ngapi? Au ndio anaanza kwa ajili uchaguzi u karibu?
Ameshatekeleza ahadi zake kwa asilimia ngapi? Au ndio anaanza kwa ajili uchaguzi u karibu?
Msanii at work
View attachment 219347
Hapa ni shule ya secondary Mwakibete