Joseph Kasheku Msukuma sema chochote maombolezo yameisha

mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
5,504
12,829
Mhe.Msukuma, Kiongozi wa Wabunge Wasomi wa Darasa la Saba, Mbunge Swahiba wa Hayati. Mzeee wa kulipua maVXR V8. Tunasubiri kauli yako kama itakuwa ile ya U-turn au itakuwa ya kufuta hizi kauli za kinafiki.

Tumemsikia Ndugai kapiga bonge la Uturn kwenye Bagamoyo Port, Tumemsikia Herr James kapiga norinda ya maaana, Tumemsikia Prof. Muhongo anataka tufukie Mradi wa Stinglers, Tumemsikia Babu Wasira anasema kwa sasa Ana FURAHA, Tumemsikia Assad, Tumemsikia Kaka yangu KICHERE ndege za ATCL nk.

Kigwangala, Zitto, Riz One, Makamba, Nape woooote wameonyesha kile kilichokuwa VIFFUANI MWAO kwa miaka 6 mfululizo.

Kwa sasa tunasubiri kauli ya Mbunge yupi atakuja kibabe kutetea Utendajikazi wa Hayati kwa maaana Kauli ambayo siyo ya Kinafiki.

Jibu linakuja kwamba TUNASUBIRI Mhe.Msukuma achane mkeka, awachane Wanafiki woooote. Mhe.Msukuma tunajua wewe unafiki mwiko kwakoooo.

Hebu wananzengo tubet hapa, Kama siyo Mhe.Msukuma ni Mbunge gani unategemea achane mkeka, tujadili
 
Sieijiii ndo kazngua
FB_IMG_16178868720393935.jpg
 
Kwahiyo inamaaana sasa Job Asad wanaongea lugha moja🤔🤔🤔⁉️⁉️⁉️‼️‼️‼️
 
JPM hatunaye tena na ameishAsahahulika, wamepata wallchokitaka waliomuua.
Alijiua mwenyewe na upumbavu wake. Eti wazungu ni watu wabaya wakati ndio waliomuwekea betri kwenye moyo miaka yote. Ilibidi afe muda mrefu tu ila wazungu walimsaidia.

Shukrani za punda ni mateke.
 
Msukuma atakuja kumjibu mpigaji kigagula aliyeibuka kupinga nyungu baada ya chuma cha afrika kuyeyuka...
 
Mhe.Msukuma, Kiongozi wa Wabunge Wasomi wa Darasa la Saba, Mbunge Swahiba wa Hayati. Mzeee wa kulipua maVXR V8. Tunasubiri kauli yako kama itakuwa ile ya U-turn au itakuwa ya kufuta hizi kauli za kinafiki.

Tumemsikia Ndugai kapiga bonge la Uturn kwenye Bagamoyo Port, Tumemsikia Herr James kapiga norinda ya maaana, Tumemsikia Prof. Muhongo anataka tufukie Mradi wa Stinglers, Tumemsikia Babu Wasira anasema kwa sasa Ana FURAHA, Tumemsikia Assad, Tumemsikia Kaka yangu KICHERE ndege za ATCL nk.

Kigwangala, Zitto, Riz One, Makamba, Nape woooote wameonyesha kile kilichokuwa VIFFUANI MWAO kwa miaka 6 mfululizo.

Kwa sasa tunasubiri kauli ya Mbunge yupi atakuja kibabe kutetea Utendajikazi wa Hayati kwa maaana Kauli ambayo siyo ya Kinafiki.

Jibu linakuja kwamba TUNASUBIRI Mhe.Msukuma achane mkeka, awachane Wanafiki woooote. Mhe.Msukuma tunajua wewe unafiki mwiko kwakoooo.

Hebu wananzengo tubet hapa, Kama siyo Mhe.Msukuma ni Mbunge gani unategemea achane mkeka, tujadili
#1
Mhe.Msukuma, Kiongozi wa Wabunge Wasomi wa Darasa la Saba, Mbunge Swahiba wa Hayati.
Nikueleze ukweli, yamekukuta;-
1. Hakuna maji safi na salama jimbo lako lote
2. Hakuna barabara ya lami hata nusu kilometa jimboni kwako
3. Hakuna majengo ya Halmashauri ,watumishi wote wako jengo la hospital ya wilaya
4. Hakuna umeme zaidi ya vijiji 20 jimboni kwako
5. Hakuna madarasa,matundu ya vyoo,madawati ya kumtisha jimboni kwako
6. Hakuna zahanati jimboni kwako
7. Hakuna hata soko la kuuzia bidhaa za Kilimo jimboni kwako.
Sasa tuambie ulikuwa unafanya nini miaka 6 bungeni?
 
KIMEUMANAAAAAA
Mkeka umetiki, sikilizeni mawe uya Msukuma huko Mjengoni.
 
Lusinde na Msukuma wameanza kujibu Mapigo kwa Wanafiki wote waliojifanya leo ndio wanajua kumnanga mwenda zake, Kazi iendeleee
 
Back
Top Bottom