ITR JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 7,105 Reaction score 19,444 Dec 25, 2024 #1 Nime kuwa nikiona picha za huyu gwiji wa muziki katika eneo hili la E.Africa akiwa hospitalini kwakweli hali yake inasiktisha. Kwani amepatwa na nini? Pia Soma: Mtoto wa Jose Chameleone: Baba yangu afya yake si nzuri, lakini waandaaji hawa wanaendelea kumualika na kumtumia kama chombo cha kuzalisha pesa
Nime kuwa nikiona picha za huyu gwiji wa muziki katika eneo hili la E.Africa akiwa hospitalini kwakweli hali yake inasiktisha. Kwani amepatwa na nini? Pia Soma: Mtoto wa Jose Chameleone: Baba yangu afya yake si nzuri, lakini waandaaji hawa wanaendelea kumualika na kumtumia kama chombo cha kuzalisha pesa
Mwachiluwi JF-Expert Member Joined Mar 10, 2022 Posts 33,586 Reaction score 66,282 Dec 25, 2024 #2 Madawa yashaafanya kazi
Knock life JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 2,468 Reaction score 7,738 Dec 25, 2024 #3 Bayuda tulikanabo maratuseka nabo Tubamanyi tutabagamba
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,176 Reaction score 48,460 Dec 25, 2024 #4 Keshapelekwa Marekani ambako mateja wanahudumiwa kama wagonjwa. Serikali italipia gharama zote za matibabu yake akiwa huko.
Keshapelekwa Marekani ambako mateja wanahudumiwa kama wagonjwa. Serikali italipia gharama zote za matibabu yake akiwa huko.
Sakasaka Mao JF-Expert Member Joined Sep 29, 2016 Posts 14,971 Reaction score 21,066 Dec 25, 2024 #5 Allen Kilewella said: Keshapelekwa Marekani ambako mateja wanahudumiwa kama wagonjwa. Serikali italipia gharama zote za matibabu yake akiwa huko. Click to expand... Taswira hiyo ni ya Marekani?
Allen Kilewella said: Keshapelekwa Marekani ambako mateja wanahudumiwa kama wagonjwa. Serikali italipia gharama zote za matibabu yake akiwa huko. Click to expand... Taswira hiyo ni ya Marekani?
Cherecheche JF-Expert Member Joined Nov 16, 2024 Posts 4,780 Reaction score 9,148 Dec 25, 2024 #6 Inasikitisha sana
Knock life JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 2,468 Reaction score 7,738 Dec 25, 2024 #7 Allen Kilewella said: Keshapelekwa Marekani ambako mateja wanahudumiwa kama wagonjwa. Serikali italipia gharama zote za matibabu yake akiwa huko. Click to expand... Ukimwi then anakula na pombe kupita kias Niliwaambia watu kipindi kile ameanguka akiwa amelala kuwa ni pombe . Yeye alisema alikuwa amerogwa akaandik na nyimbo inaitwa Abayuda akimaanisha watu wabaya wanafiki na walozi
Allen Kilewella said: Keshapelekwa Marekani ambako mateja wanahudumiwa kama wagonjwa. Serikali italipia gharama zote za matibabu yake akiwa huko. Click to expand... Ukimwi then anakula na pombe kupita kias Niliwaambia watu kipindi kile ameanguka akiwa amelala kuwa ni pombe . Yeye alisema alikuwa amerogwa akaandik na nyimbo inaitwa Abayuda akimaanisha watu wabaya wanafiki na walozi
Rusumo one JF-Expert Member Joined Oct 4, 2018 Posts 3,537 Reaction score 4,435 Dec 25, 2024 #8 Pombe si chai tunywe kwa kiasi kama burudani tu
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,176 Reaction score 48,460 Dec 25, 2024 #9 Sakasaka Mao said: Taswira hiyo ni ya Marekani? Click to expand... Kuna mahali nimesema hapo ni Marekani? Nimesema keshapelekwa Marekani. Hapo ni kwenye Hospitali inayoitwa Nakasero jijini Kampala.
Sakasaka Mao said: Taswira hiyo ni ya Marekani? Click to expand... Kuna mahali nimesema hapo ni Marekani? Nimesema keshapelekwa Marekani. Hapo ni kwenye Hospitali inayoitwa Nakasero jijini Kampala.
Allen Kilewella JF-Expert Member Joined Sep 30, 2011 Posts 25,176 Reaction score 48,460 Dec 25, 2024 #10 Manfried said: Ukimwi then anakula na pombe kupita kias Click to expand... UKIMWI siyo ishu Sana... Sema hizo Pombe na madawa ya kulevya (Kwa mujibu wa mtoto wake) ndizo tatizo.
Manfried said: Ukimwi then anakula na pombe kupita kias Click to expand... UKIMWI siyo ishu Sana... Sema hizo Pombe na madawa ya kulevya (Kwa mujibu wa mtoto wake) ndizo tatizo.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 167,279 Reaction score 185,556 Dec 25, 2024 #11 Pole yake sana... Cc: Mahondaw
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,301 Reaction score 47,304 Dec 25, 2024 #12 ITR said: Nime kuwa nikiona picha za huyu gwiji wa muziki katika eneo hili la E.Africa akiwa hospitalini kwakweli hali yake inasiktisha. Kwani amepatwa na nini? View attachment 3185132 Click to expand... Ndo nani?
ITR said: Nime kuwa nikiona picha za huyu gwiji wa muziki katika eneo hili la E.Africa akiwa hospitalini kwakweli hali yake inasiktisha. Kwani amepatwa na nini? View attachment 3185132 Click to expand... Ndo nani?
Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 42,561 Reaction score 105,361 Dec 25, 2024 #13 Sema nini.... Pombe hua inasingiziwa sana...😪
Designer_3434 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2015 Posts 4,930 Reaction score 3,981 Dec 25, 2024 #14 Hatari sana
ITR JF-Expert Member Joined Sep 22, 2022 Posts 7,105 Reaction score 19,444 Dec 25, 2024 Thread starter #15 Allen Kilewella said: Keshapelekwa Marekani ambako mateja wanahudumiwa kama wagonjwa. Serikali italipia gharama zote za matibabu yake akiwa huko. Click to expand... Kumbe ni member wa sembe?
Allen Kilewella said: Keshapelekwa Marekani ambako mateja wanahudumiwa kama wagonjwa. Serikali italipia gharama zote za matibabu yake akiwa huko. Click to expand... Kumbe ni member wa sembe?
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 13,608 Reaction score 40,861 Dec 25, 2024 #16 Manfried said: Bayuda tulikanabo maratuseka nabo Tubamanyi tutabagamba Click to expand... Lakini kwa huo ugonjwa hamna cha yuda au nini.
Manfried said: Bayuda tulikanabo maratuseka nabo Tubamanyi tutabagamba Click to expand... Lakini kwa huo ugonjwa hamna cha yuda au nini.
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 44,177 Reaction score 104,785 Dec 25, 2024 #17 Kila lenye mwanzo lapaswa kuwa na mwisho
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 9,293 Reaction score 12,875 Dec 25, 2024 #18 Anasikitisha
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 25, 2024 #19 Maghayo said: Ndo nani? Click to expand... Watu walioimba mziki wa maana kama fizikia kama huyu kljamaa hauwajui Ila unawajua janjajanja arts kina Zuchu wanaoimba Cha!pa!ti! Siendii
Maghayo said: Ndo nani? Click to expand... Watu walioimba mziki wa maana kama fizikia kama huyu kljamaa hauwajui Ila unawajua janjajanja arts kina Zuchu wanaoimba Cha!pa!ti! Siendii
M Maghayo JF-Expert Member Joined Oct 5, 2014 Posts 20,301 Reaction score 47,304 Dec 26, 2024 #20 Saint Anne said: Watu walioimba mziki wa maana kama fizikia kama huyu kljamaa hauwajui Ila unawajua janjajanja arts kina Zuchu wanaoimba Cha!pa!ti! Siendii Click to expand... Hahaha merry Christmas
Saint Anne said: Watu walioimba mziki wa maana kama fizikia kama huyu kljamaa hauwajui Ila unawajua janjajanja arts kina Zuchu wanaoimba Cha!pa!ti! Siendii Click to expand... Hahaha merry Christmas