Jos Mtambo: Kichwa adimu sana

Jos Mtambo: Kichwa adimu sana

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
13,010
Reaction score
23,656
jos.jpg

Mkongwe ambaye hapewi heshima anayostahili. Jamaa ana sick unique tecniques za kuandika na kuchana, hata maneno mengi anayotumia kwenye ngoma ni ya kwake peke yake. Yeye mwenyewe ni shabiki namba moja wa muziki wake, ndio maana anafanya anavyopenda na sijawahi kuskia amekosea. Halafu ana beats zake anaweza kwenda nazo peke yake tu, kwa bahati mbaya bado hajapata muongozaji anayeelewa styles zake kwa upande wa video.

Usipomskiliza kwa makini unaweza usimuelewe anaongelea nini, ila ametulia sana kichwani.

"Maadui pande zote, what!?..wanna stop me?/ Namtukana shetani ile mbaya, wanna sue me!?/
only God can judge me, wewe ndio nani?....(nothing)/"


Hii ngoma (Nothing) nimeigundua last weekend, imestuck kwenye replay kila napopata nafasi ya kuskiliza muziki, hizo hypes...noma sana. Respect kwa Jos', hatuna mwingine kama yeye.

https://www.youtube.com/watch?v=1N8qLyiMaV4
 
dah! mkuu mm ni mmoja ya watu wanaozielewa kazi zake huyu jamaa anajua sana! kuna ngoma moja alifanya na belle inaitwa NAONGEA NA ROHO kwa aliye nayo msaada tafadhari!
 
dah! mkuu mm ni mmoja ya watu wanaozielewa kazi zake huyu jamaa anajua sana! kuna ngoma moja alifanya na belle inaitwa NAONGEA NA ROHO kwa aliye nayo msaada tafadhari!
Uliipata?
 
Back
Top Bottom