Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,022
Busquet umri umeanza kumtupa mkono, kasi ya mchezo nayo imeanza kumuacha, hivyo kuibuka kwa watu kama akina Jorginho ni kama warithi wa nafasi yake hasa ile ya deeplying playmaker.Penati anazopiga unajua kabisa huyu jamaa ana akili si za mchezo..Mimi Chelsea ila uliemfanisha nae ni habari nyingine yule
Ile pass yake kwa Abraham dhidi ya Watford unaweza ukapewa mkopo na benki ya dunia bila ribaAna pasi hatari sana na adimu kwa wachezaji sasa
Hahaha ile pass inaeza futa deni lore la taifa ..na kuongezewa mkopo mwingine bila riba..Ile pass yake kwa Abraham dhidi ya Watford unaweza ukapewa mkopo na benki ya dunia bila riba
Baada ya kuboronga kwenye msimu wake wa kwanza akiwa darajani,
Na baada ya kuondoka kwa Hazard, kwasasa yeye ndio chaguo la kwanza kwenye upigaji wa penati pale chelsea.Jamaa mi huwa napenda penalti zake tu.
Hahaha umetisha mkuuHahaha ile pass inaeza futa deni lore la taifa ..na kuongezewa mkopo mwingine bila riba..
Cesc ni Attacking MidfielderBado tunahitaji Mtu kama Sesc Fabregas kwa final assists japo Joginho ni mzuri lakini bado hajafikia huo uwezo wa Sesc Fabregas.
Hahaaa hiyo ni Chelsea ya Lampard kwa ufupi, ukichukua mkopo usinisahau mwanachelsea mwenzioIle pass yake kwa Abraham dhidi ya Watford unaweza ukapewa mkopo na benki ya dunia bila riba
Hahaha ile pass inaeza futa deni lore la taifa ..na kuongezewa mkopo mwingine bila riba..