Jordan express co ltd wana ofa ya magari ya fuatayo, fun-cargo,suzuki swift na vitz | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jordan express co ltd wana ofa ya magari ya fuatayo, fun-cargo,suzuki swift na vitz

Discussion in 'Matangazo madogo' started by jordanexpressco, Jul 1, 2012.

 1. jordanexpressco

  jordanexpressco JF-Expert Member

  #1
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa ya kufutwa kwa post ya JORDAN EXPRESS CO LTD,ilikua na-title kama hii imefutwa au imefutika! kama kuna mtu yoyote anayejua sababu za kufutwa kwa post yetu tunaomba tu-in box au tupigie 0713960161 au mtu yeyote anaweza kurudisha tunaomba airudishe kwa garama zozote,

  Post hiyo ili bahatika kutembelewa na watu wengi sana na wengi wao tumewauzia magari trekita za kilimo za kutengeneza barabara nk ,kufutika kwa post hiyo kumewanyima nafasi wateja wetu wapya kuweza kuona maswali na majibu muhimu yalioulizwa na waliotangulia pia na kujua biashara tunazozifanya kwa marefu na mapana. Tutatoa dau kubwa kwa yeyote atakaye fanyikisha kurudisha post hiyo.Ahsanten sana
   
 2. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #2
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #3
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu hata mimi nimeitafuta sikufanikiwa kuiona tena.Nilikuwa nahitaji kujua kama nitapata Toyota ipsum 240 u toleo jipya na inaendaje kwa bei
   
 4. j

  judy asifiwe Member

  #4
  Jul 1, 2012
  Joined: Jun 22, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimewatafuta sana JORDEX niwape asante yenu tangu jana siwaoni pole sana
   
 5. jordanexpressco

  jordanexpressco JF-Expert Member

  #5
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Toyota ipsum 240 m 11 Tsh
   
 6. jordanexpressco

  jordanexpressco JF-Expert Member

  #6
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jestina tufanyeje sasa?
   
 7. jordanexpressco

  jordanexpressco JF-Expert Member

  #7
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pole kwausumbu uliojitokeza tunakushukuru sana wewe kwa kuchagua JORDEX
   
 8. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #8
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  ungemtumia huyo mkuu ujumbe,yeye nadhani ana uwezo wa kuretrive....
   
 9. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #9
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Asante mkuu ngoja nikae sawa tutawasiliana.
   
 10. Mkwai

  Mkwai JF-Expert Member

  #10
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jordan, naweza kupata Mitsubishi pajero io kutoka kwenu? Bei?
   
 11. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #11
  Jul 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,134
  Likes Received: 7,382
  Trophy Points: 280
  Kaka majaliwa,
  Huna haja ya kutoa dau ili topic irudishwe, kwanza ujue tu hakuna member yoyote anaeweza kuitoa isipokua Mod (wahusika/wamiliki) pekee.

  Na sidhani Kama wanahitaji dau kurudisha, labda tu mkubaliane kulipana mambo mengine kama vile matangazo ya kibiashara.

  Otherwise, niliona Kama ile topic ilishaanza kuharibika mantiki/malengo baada ya kuanza matusi kati ya mteja Na mtu mwingine.

  Kama ndio sababu basi muombe Mod ayafute yale matusi, airudishe ile iendelee.
   
 12. jordanexpressco

  jordanexpressco JF-Expert Member

  #12
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ahsante sana kaka naomba uniunganishe na Mud tukae mezani kama vip ni in box namba yake.
   
 13. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #13
  Jul 1, 2012
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,091
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  jordanexpressco;

  Inasafishwa, ikikaa sawa itarejeshwa (siwezi kusema baada ya muda gani kwani ni task ngumu pia kwani inahitaji mtu kuwa dedicated).

  Ni vema ungelipia tangazo ukatengenezewa special page badala ya kuendelea kwa mtindo wa thread.

  Ni wazi wengi washaanza kuwajua, ni wakati wa ninyi kuichangia JF ili iwaboreshee namna ya kutangaza kwa ufanisi zaidi
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  tena awe dayamondi memba huyu.

  Soli hivi sijaomba luhusa kukwoti hii

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. jordanexpressco

  jordanexpressco JF-Expert Member

  #15
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Pajero ya mwaka 2000 cc 2800 4WD diesel engine model code V36WHNRK io bei yake ni 13 m Tsh
   
 16. jordanexpressco

  jordanexpressco JF-Expert Member

  #16
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha haaaaaa Invisible nimekusikia umenichagulia dayamondi sio itakua ni nzuri hiyo.
   
 17. jordanexpressco

  jordanexpressco JF-Expert Member

  #17
  Jul 1, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poa kaka
   
 18. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #18
  Jul 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Samahani mkuu sijajua ni ya mwaka gani.
   
 19. jordanexpressco

  jordanexpressco JF-Expert Member

  #19
  Jul 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ipsum ya mwaka 2003
   
 20. KiuyaJibu

  KiuyaJibu JF-Expert Member

  #20
  Jul 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2007
  Messages: 769
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 45
  Ni vizuri wakalipia kama kweli wako serious na biashara.
   
Loading...