Joram Kiango yupo sokoni tayari

nameless girl, shukran kwa habari hizi njema. Vipi unafanya physical deliveries? Na vile vya Elvis Musiba e.g.Kifo cha Kisasi hamjaanza kutoa? Je, mna mpango wa kuvitoa?
 
nameless girl, shukran kwa habari hizi njema. Vipi unafanya physical deliveries? Na vile vya Elvis Musiba e.g.Kifo cha Kisasi hamjaanza kutoa? Je, mna mpango wa kuvitoa?
YES WE DO. KUHUSU ELVIS MUSIBA SIJAFANIKIWA KUKUTANA NA WATOTO WAKE KUJUA KAMA WANA MPANGO GANI NA HIVYO VITABU.
 
Vipi kuhusu upatikanaji wake? naweza kutuma pesa kweli na mzigo nikapata nikiwa mkoani?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…