bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Kwa kweli hata mm sitaki kumkosa kwenye show so vile visu ilikuwa ndoto tu au
Hii season 06 bado haijatoka?
Inasemekana melissandre(the red pristes) alimfufua.
Sema wanachelewesha sana,kila mwaka season moja tu!!!dah waninikera kunisubirisha.Itatoka mwaka kesho mwezi wa nne
Nikajua ni John Snow wa cholera..ningeshangaa
Sema wanachelewesha sana,kila mwaka season moja tu!!!dah waninikera kunisubirisha.
Wenzetu hawakurupuki wanatengeneza kitu bora last season yenyewe imechukua zaidi ya siku 200 kuitengeneza
Sema wanachelewesha sana,kila mwaka season moja tu!!!dah waninikera kunisubirisha.
Mkuu kutengeneza li series la aina ile linakula sana muda na gharama ndio maana inachelewaga sana kutoka
Setup yake ya location sio mchezo