Jokate ndo kasichana katakakonifuta machoz hapo badae panapo majaliwa

Hakika Binadamu hatufanani kama vidole.

Huyo Joketi wengine mwamuita jojo,,,mboni zangu zinamtazama kama binti/mwanamke wa kawaida tu kwa urembo/uzuri/mvuto au kwasababu yupo machoni kwa media sana ndio maana anawapagawisha..?


Totoz zipo nyingi hata kulegeza gidamu zao hastahili.
 
Back
Top Bottom