JoKate mzuri sana kwakweli nilimuona maeneo ya surrender yuko na friend/relatives wake huku ana drive rava4,, nikamchomekea kumuangalia ndo yeye aisee Moyo ulipiga PAA afu nikashikwa na bumbuazi then nikamkonyeza tu aisee alivyo tabasam nikaona kama kaniambia I LOVE YOU TOO...teh teh teh
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app