JOKATE MWEGELO AONGOZA MATEMBEZI YA MAELFU YA VIJANA WAPIGA KURA DK SAMIA
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg. Jokate Mwegelo akiongoza Matembezi ya Maelfu ya Vijana ambao pia ni Wapiga Kura wapya Wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakiwa njian kuelekea Katika Uzinduzi Maalum wa Program hiyo uliofanyika Katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam
Jokate ameongeza matembezi ya vijana hao leo Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam ambapo walikuwa wanaelekea katika uzinduzi huo wa programu Maalum ya vijana hao kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu ambapo Jumuiya hiyo chini ya Mwenyekiti wake na Katibu Mkuu wameweka mikkakati mbalimbali itakayofanikisha ushindi wa Dk.Samia kupitia kundi la vijana wa Tanzania.
Fita Ni fita muraa!Hivi ccm huwa hofu yao kubwa ni ipi? Maana hata ukifanyika uchaguzi wa huru na haki bado wana asilimia zaidi ya 70 kushinda kwa kishindo. Kuna vijiji huko ndani ndani hawaijui act wala chadema.
Fita Ni fita muraaHivi ccm huwa hofu yao kubwa ni ipi? Maana hata ukifanyika uchaguzi wa huru na haki bado wana asilimia zaidi ya 70 kushinda kwa kishindo. Kuna vijiji huko ndani ndani hawaijui act wala chadema.
Ukiwa huna watu wa kukupigia kura unakimbia uchaguzi. Very simple.Sasa kama mnao wapiga kura wengi kwanini mama Samia asiweke box lenye haki ili ashinde kwa kishindo na wote tumpongeze mama yetu
Je huku siko walikojaa chawa wanaoitafuna na kudidimiza afya na uhai wa taifa hili?JOKATE MWEGELO AONGOZA MATEMBEZI YA MAELFU YA VIJANA WAPIGA KURA DK SAMIA
Na Mwandishi Wetu
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Ndg. Jokate Mwegelo akiongoza Matembezi ya Maelfu ya Vijana ambao pia ni Wapiga Kura wapya Wa Dkt. Samia Suluhu Hassan, wakiwa njian kuelekea Katika Uzinduzi Maalum wa Program hiyo uliofanyika Katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam
Jokate ameongeza matembezi ya vijana hao leo Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam ambapo walikuwa wanaelekea katika uzinduzi huo wa programu Maalum ya vijana hao kuelekea uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu ambapo Jumuiya hiyo chini ya Mwenyekiti wake na Katibu Mkuu wameweka mikkakati mbalimbali itakayofanikisha ushindi wa Dk.Samia kupitia kundi la vijana wa Tanzania.
MAfisadi ya kodi za ummaKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo ameongoza matembezi ya Maelfu ya Vijana ambao pia ni Wapiga Kura wapya katika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 (Samia First Time Voters), ambapo matembezi hayo yameishia Katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es salaam panapofanyika kongamano uzinduzi wa Samia First Time Voters.
Jokate ameongoza matembezi ya Vijana hao leo Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam ambapo kwa pamoja wamefika kwa wingi katika uzinduzi huo wa programu Maalum ya Vijana hao kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu ambapo Jumuiya hiyo imesema imeweka mikakati mbalimbali itakayofanikisha ushindi wa Rais wa Tanzania Dk.Samia kupitia kundi la Vijana wa Tanzania.
Kongamano hilo limehudhuriwa na Vijana mbalimbali wakiongozwa na Umoja wa Vijana CCM Seneti Ya Vyuo na Vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam, na Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es salaam ambapo KM Jokate ndiye Mgeni rasmi.
Samia First Time Voters hii ni kampeni mahususi yenye lengo la kuhamasisha na Kuelimisha kundi la Vijana waliotimiza umri wa miaka 18 hivi karibuni na kupata sifa ya kuwa Wapiga kura Kwa mara ya kwanza katika uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, kujitokeza kwa wingi kupiga kura
View attachment 3309326View attachment 3309328View attachment 3309327
View attachment 3309330View attachment 3309331
Zile trillion zisizojulikana matumizi yake ndio haya sasaKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo ameongoza matembezi ya Maelfu ya Vijana ambao pia ni Wapiga Kura wapya katika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 (Samia First Time Voters), ambapo matembezi hayo yameishia Katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es salaam panapofanyika kongamano uzinduzi wa Samia First Time Voters.
Jokate ameongoza matembezi ya Vijana hao leo Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam ambapo kwa pamoja wamefika kwa wingi katika uzinduzi huo wa programu Maalum ya Vijana hao kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu ambapo Jumuiya hiyo imesema imeweka mikakati mbalimbali itakayofanikisha ushindi wa Rais wa Tanzania Dk.Samia kupitia kundi la Vijana wa Tanzania.
Kongamano hilo limehudhuriwa na Vijana mbalimbali wakiongozwa na Umoja wa Vijana CCM Seneti Ya Vyuo na Vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam, na Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es salaam ambapo KM Jokate ndiye Mgeni rasmi.
Samia First Time Voters hii ni kampeni mahususi yenye lengo la kuhamasisha na Kuelimisha kundi la Vijana waliotimiza umri wa miaka 18 hivi karibuni na kupata sifa ya kuwa Wapiga kura Kwa mara ya kwanza katika uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, kujitokeza kwa wingi kupiga kura
View attachment 3309326View attachment 3309328View attachment 3309327
View attachment 3309330View attachment 3309331
Wengine ukute ndio wanaingia road na kupora pochi za wenzao wanaoenda pamoja kwenye wanachoita maandamanoVijana wa kizazi hiki ni wajinga sana. Wakitoka kwenye hayo maandamano, wanalalamika hawana ajira! Maisha ni magumu mtaani, nk.
Tunaendeleza Sana ujingaKatibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo ameongoza matembezi ya Maelfu ya Vijana ambao pia ni Wapiga Kura wapya katika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 (Samia First Time Voters), ambapo matembezi hayo yameishia Katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es salaam panapofanyika kongamano uzinduzi wa Samia First Time Voters.
Jokate ameongoza matembezi ya Vijana hao leo Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam ambapo kwa pamoja wamefika kwa wingi katika uzinduzi huo wa programu Maalum ya Vijana hao kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu ambapo Jumuiya hiyo imesema imeweka mikakati mbalimbali itakayofanikisha ushindi wa Rais wa Tanzania Dk.Samia kupitia kundi la Vijana wa Tanzania.
Kongamano hilo limehudhuriwa na Vijana mbalimbali wakiongozwa na Umoja wa Vijana CCM Seneti Ya Vyuo na Vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam, na Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es salaam ambapo KM Jokate ndiye Mgeni rasmi.
Samia First Time Voters hii ni kampeni mahususi yenye lengo la kuhamasisha na Kuelimisha kundi la Vijana waliotimiza umri wa miaka 18 hivi karibuni na kupata sifa ya kuwa Wapiga kura Kwa mara ya kwanza katika uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, kujitokeza kwa wingi kupiga kura
View attachment 3309326View attachment 3309328View attachment 3309327
View attachment 3309330View attachment 3309331
Inasaidia mzunguko wa hela, lakini si mvuto wa kisiasa.Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Jokate Mwegelo ameongoza matembezi ya Maelfu ya Vijana ambao pia ni Wapiga Kura wapya katika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025 (Samia First Time Voters), ambapo matembezi hayo yameishia Katika ukumbi wa JNICC Jijini Dar es salaam panapofanyika kongamano uzinduzi wa Samia First Time Voters.
Jokate ameongoza matembezi ya Vijana hao leo Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam ambapo kwa pamoja wamefika kwa wingi katika uzinduzi huo wa programu Maalum ya Vijana hao kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu ambapo Jumuiya hiyo imesema imeweka mikakati mbalimbali itakayofanikisha ushindi wa Rais wa Tanzania Dk.Samia kupitia kundi la Vijana wa Tanzania.
Kongamano hilo limehudhuriwa na Vijana mbalimbali wakiongozwa na Umoja wa Vijana CCM Seneti Ya Vyuo na Vyuo vikuu Mkoa wa Dar es salaam, na Wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Dar es salaam ambapo KM Jokate ndiye Mgeni rasmi.
Samia First Time Voters hii ni kampeni mahususi yenye lengo la kuhamasisha na Kuelimisha kundi la Vijana waliotimiza umri wa miaka 18 hivi karibuni na kupata sifa ya kuwa Wapiga kura Kwa mara ya kwanza katika uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, kujitokeza kwa wingi kupiga kura
View attachment 3309326View attachment 3309328View attachment 3309327
View attachment 3309330View attachment 3309331
Mbona anarangi nyeupe nilitarajia nione njao na kijani au ndio kutoka kivingine?